Msaada ku-improve my airtel modem speed | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada ku-improve my airtel modem speed

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by T3RN3K, Jul 13, 2011.

 1. T

  T3RN3K Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 25
  guys nmehamia huku mbezi luisi sasa modem yngu impungua speed kinoma (napata EDGE) ! is there any technique i can use to improve the speed!??
   
 2. achengula

  achengula JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 386
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Nadhani pia speed ya airtel sasa imepungua sana kwa ujumla. Mwenyewe sijaondoka eneo lakini sasa napata EDGE sijui kwa nini speed imekuwa ndogo sana. Hebu tuone wataalamu labda watatupa maujanja
   
 3. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Nope natumia airtel mara kwa mara na speed iko POUWA 2 mpaka saa ivi sema kuna vitu viwili kwanza zingatia software ya

  kuconnect unayotumia kwasababu kuna option ya iyo software kuchagua kuunga na mtandao gani ambapo kuna 3G na EDGE... 3G ndio hyo ya

  speed kubwa sasa kama iko set kuwa iselect automatically hiyo pia sio nzuri sana kwa sababu kinacho angalia ipi katika iyo mitandao 3G au EDGE

  iko juu mahala au muda huo na kujiunga mara nyingi EDGE inakuwa iko juu sana na 3G sometimes ina yumba so upon selecting iwe inaunga

  automatically utaona SPEED inakuwa slow sana kuringanisha na wakati mwigine ndo maana ukija kwenye dashboard unaona EDGE sasa solution ni

  kuforce selection iwe ina uunga kwa 3G tu na sio EDGE... sasa pia hii sio kwamba ndo itakuwa umefanikisha no inategemeana na maeneo sehemu

  nyigine hamna kabisa mtandao wa 3G so unaforce na kuona kama itashika na ikishindikana kabisa kushika 3G ndo ui set ikamate EDGE tu... yani

  ukiona inashika 3G sometimes au inakuja na kuondoka hii njia inaweza saidia sasa ili labda niweze kuelekeza jinsi ya kuset iwe inashika 3G pekee yake

  unge eleza unatumia software ipi ya kuconnect iyo modem na internet.
   
 4. T

  T3RN3K Member

  #4
  Jul 23, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 25
  dah! nimejaribu mkuu lakin imekataa, software nayo2mia ni default, (inayokuja na modem ya airtel)!! ninakasimu changu kana 3g natumia tigo naona speed iko poa kuliko voda na airtel ingawa napata EDGE!!!
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kuna jamaa mmoja alisema inabidi uiweke kwenye sufuria hiyo modem yako unachotakiwa nikununua cable ambayo itaruhusu kufikia hilo sufuria..hapo anakuambia haiwezi kupoteza signal ya 3G hata kidogo try it mkuu..
   
 6. T

  T3RN3K Member

  #6
  Jul 23, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 25
  hyo nimejaribu mkuu lakin sikufanikiwa, sijui kwa vile nlkuwa chumbani, coz wanasema 3g signals znawakuwa broked with thickwalls and glass windows! halafu kitu kingine, sikuwa na ile shining cable as someone suggested!!!
   
Loading...