Hata marumaru

Hata marumaru

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Wadau samahanini mie nnataka kuelewa kuwa hivi kwa jinsi marumaru(usually small white blocks) zilivyoundwa material zake za kutereza sasa mbona nazo pamoja na kuziosha mara kwa mara zinashika uchafu na rangi na kukomaa hv ni sawa!!? Na ili kudilute kwa lengo la kusafisha hizi marumaru nitumie chemical gani!?
 
Tumia kitu kinaitwa tile cleaner, hardware shop utakipata
 
Back
Top Bottom