Adobe Audition software

kaburunye

JF-Expert Member
May 12, 2010
672
74
Waungwana, naomba kama kuna mtu ana software ya Adobe Audition aniwekee hapa ni-idownload. Natangulisha shukrani zangu
 
zinaonekana?!! kwanini usijaribu?!! ni cracked hiyo ipo freeeee. so ni wewe tu. Jaribu kabla ya kupinga.
 
zinaonekana?!! kwanini usijaribu?!! ni cracked hiyo ipo freeeee. so ni wewe tu. Jaribu kabla ya kupinga.


nadhani hana uzoefu na tovuti za file sharing.

inawezekana ka click pale kwenye pemium download.


Mkuu kiburunye ukienda kwenye hiyo link umepewa subiri imalize zile sekunde inazocount down then click kwenye regular download. kiash dowload zipped file. zen li-unzipue file teh teh teh teh.

Zipo link nyingi lakini naamin hiyo iko poa.
 
Adobe Audition

The BitTorrent protocol is your friend Mr Pirate! :) If you don't have any BitTorrent client installed, download and install one from the link below. Once installed, to download the file you can either use the magnet link to launch uTorrent and start the download process or just download and open the torrent file using the client. Hope that is clear enough. Now here are the files for you.
If you want to search for torrent files (software, music, movies, games etc) a good place to start is www.btjunkie.org, check for files with good "health".

NB: Next time, Google for answers! Makes you learn a lot more things! :)
 
Back
Top Bottom