SHAROBALO
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 771
- 349
Hellow,
Jinsi ya kudownload Free Application From Ovistore to ur PC ni rahisi sana na haiitaji ku Hack wala nini!!!
Wengine watasema kwann udownload kwa PC, Jibu ni kwamba sometime kudownload kwa simu iko slow na pia unamaliza pesa bure wakati una internet kwenye PC yako na bureee na haraka zaidi
Here is How!!!!
Note* This is not a hack just a tip. Plus only free apps can be downloaded.
then change it to http://store.ovi.com/content/61776/download
yaani pale mwisho wa adress unaongezea /download
Mfano application hi Nokia Battery Monitor http://store.ovi.com/content/61776/download
imeshaongezewa /download so ukifungua itaanza kudownload
NOTE!! KAMA UKIDOWNLOAD FILE NA MWISHO LINA .dm then open it with notepad++ and removed the first 4 line and then futa .dm ibaki .sisx
have fun
cheers!!!!

- Visit Store.Ovi.com and Sign in kupitia computer
- Choose your device in order to show the available content for it
- Search for apps or games that you want
- Edit the URL by adding /download to the end of the content ID number.
- Install it