It's simple but Tough .. Tone internet Radio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

It's simple but Tough .. Tone internet Radio

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Toneradio, Jul 21, 2011.

 1. T

  Toneradio Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  We use very simple Technology to Create this Radio station.. we don't have any frequency but we are using internet only... the Radio Broadcasting from Upanga Dar es Salaam.. and u can listen Free.. all over the World.. Enjoy 24/7

  To listen Live Click here
  TONE INTERNET RADIO
   
 2. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Please unaweza kunipa site ambapo naweza kupata resources ili kama vp na mimi nijaribu hiyo kitu.........Huenda nawezaku kudevelop project
   
 3. T

  Toneradio Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  KWA WADAU WOTE WAISHIO NDANI NA NJE YA TANZANIA SASA MNAWEZA KUSIKILIZA ONLINE RADIO BURE KABISA IKIRUSHA MATANGAZO KUTOKA UPANNGA DAR ES SALAAM TANZANIA.
  BOFYA HAPA KUSIKILIZA
  TONE INTERNET RADIO
   
 4. delabuta

  delabuta Senior Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante kwa taarifa.
   
 5. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Maajabu ya technologia hiyo! Thanx mkubwa kwa kazi nzuri na kwa taarifa!
   
 6. T

  Toneradio Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tunashukuru sana wadau
   
 7. k

  kakolo Senior Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Jamani natumia IPhone 4 sasa hiyo button ya play siione au kusikiliza redio kwa ujumla huwa inaniambia safari hawezi ku access saver eti iko mbali haswa clouds radio pia kuna mtu anaweza toa shule jinsi ya ku-download miziki au video bure???? Maana kila mara inanipeleka kwenye itune sasa hapo kuna gharama. Nitashukuru.
   
 8. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Thanx mkuu!!! Na-enjoy music sasa hivi. Will you broadcasting news??
   
 9. terabojo

  terabojo JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ninashukuru kwa taarifa. Tayari nafurahia muziki wa bure wa Tone Internet Radio. Asante.
   
 10. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  halafu imetulia sana, sasa naburudika na wimbo niupendao sana wa nadina wa mbilia bel!!! asante kwa taarifa na ubarikiwe sana mpendwa!
   
 11. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  sasa ni hidaya-pepe kalle, hakika ni burudani tupu!! fanyenifanyeni na tv baasi wapendwa!

  Mungu awatangulie katika kazi zenu!
   
 12. E

  Edo JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  imetulia
   
 13. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  dah....!
   
 14. T

  Toneradio Member

  #14
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tunashukuru sana wadau tupo pamoja hope na wengine watapata habari hizi Thanks Guys
  Fredy Tony
  Chief Multimedia Architect
  Tone Multimedia Company Limited
   
 15. T

  Toneradio Member

  #15
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sure tuna habari za papo kwa hapo na mambo mengi sana endelea kuwapo hapa Tone Internet Radio ikiwatangazia Live kutoka Upanga Dar es salaam Tanzania.
   
 16. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  Tunakupata loud and crispy clear-vipi muzee kuna ratiba ya matangazo?
   
 17. papaa masikini

  papaa masikini Senior Member

  #17
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Powa sana wadau wa tone radio...
  2ko pamojah,na zaid mnabamba fresh na hizo mbili tatu zakiafrica,i mean Bolingo,zouk rhumba nk...
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  napata bongo fleva

  aisee
   
 19. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Big up mkuu waonyeshe maana vituo vya radio na televison na hasa TBC na rasimilazi zote walizonazo hawajui mambo haya ya USTREAM, You're On. Free LIVE VIDEO Streaming, Online Broadcasts. Create webcasts, video chat, stream videos on the Internet. Live streaming videos, TV shows , Justin.tv - Streaming live video broadcasts for everyone etc na jinsi yanavyoweza kuwafanya waonekane u kusikika dunia nzima

  Hata Tido mhando aliyetoka majuu alikuwepo pale sikuona kipya alichopeleka kaktika matumizi ya kisasa ya ICT.

  Ila lazima TCRA wakijua hiyo wakuleteeee longolongo. We subiri tu
   
 20. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu na sisi wa simu itakuwaje maana tunapitwa na uhondo wa mambo..
   
Loading...