Sasa msomi kafanikiwa mpaka kujiunga chuo. Anajua hata kutumia jamiiforum bado unateteta kuuliza swali kama hilo. si ndio watu wa namna hii umemfudisha hesabu za kutoa kwa mfano wa 4-1= 3. Kesho ukimuuliza 6-2 anakumwambia hujanifundisha.
Ndio hapo unaona watanzania japo tunasoma sana bado hatuelimiki. Usishangae kuna watu wamesoma sana mpaka wana phd au wanaitwa ma prof lakini hawajaelimika. Ndio maana unona hata Tanzania iko kama ilivyo. Tumekariri.
Kwa hiyo mkuu usitetee uzembe.Muuliza swali sio mtoto wa darasa la saba.