Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,196
- 11,623
Katika pitapita yangu nimemkuta kijana anauza moderm ya ZTE nodel no. AC8710, binafsi sina ujuzi wowote wa kuitumia kwani nimejaribu kuistal kwenye machine yangu naona haifanyi kazi naomba msaada wa jinsi ya kuitumia ba ndugu.
Nitafurahi kwa msaada wenu.
Nitafurahi kwa msaada wenu.