newtonfox
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 217
- 93
tafadhali wakubwa wa jamii forums nina wapsite moja http://wabongoo.tk niliiitengeneza kwa lengo la watu kuweza kupata phone downloads(hasa hapa bongo) kama vile nyimbo,application,themes hata video etc >>>>> hiyo wap niliandaa kabla sijaanza kujua html,php,css march 2010 mpaka wa leo walau ninaidea na hayo mambo langu jambo nilikua naomba msaada juu ya kuboresha wapsite hii ili niweze kupata vistors na hiwe poa kiujumla sasa lipi la kuongezea ? kutoa? yoyote myenye idea,ushauri naomba kusudi niweze kufanyia kazi napenda sana simu...... na naona wivu kuona za wengine zinashine then yangu inabaki kuwa nyuma ni hayo tu......