winrar

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
492
180
Habari wana jf naomba msaada kwa hili nimejaribu ku download file la movie kwenye filesonic limekuja kwa format ya winrar kila nikijaribu kuli extract ili lifunguke kwa winrar linafunguka likifika katikati linasema you need to have the following volume to continue extraction (C:\Users\fareed\Downloads\Compressed\_h_Zimbabwe. Xvid.AC3.MVGroup.part2.rar) insert a disk with this volume and press ok hapa nifanyeje ? natanguliza shukran
 
Hiyo file ipo kwenye vipande, wewe utakuwa umedownload kipande cha kwanza tu. Inabidi udownload vyote kisha ndo uextract.
 
Mkuu, do a search, ilishawekwa hapa JF kwenye downloads section
mkuu invisible saidia kuweka link.unajua ku search wengi inaweza ikawa inatusumbua kama sio mimi peke yangu. Una type winrar pale kwenye search box ila wakati mwingine jibu linakuwa:umekosea kuingiza keywod.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom