msaada: jinsi ya kuondoa linux ktk computer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada: jinsi ya kuondoa linux ktk computer

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by komredi ngosha, Jul 22, 2011.

 1. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kompyuta yangu ina os 2, moja ya linux na siitaki ila nashindwa kuitoa, nikifungua os ya windows files zake sizioni. Msaada pls!
   
 2. F

  FredKavishe Verified User

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Uliiwekaje hyo linux kipind unatengeneza partition
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Uliinstall vpii hiyo ubuntu ?

  • jaribu kucheki kwenye installed progames mana una njia moja ya kuinstall ubuntu inakuwa kama una uninstall program.

  Alternatively cheki hi clip ya youtuve e- UNistalling ubuntu using easyBCD


  Hiyo EasyBCD ni nyenzo itakusadia kurahisisha kazi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Jul 23, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu ingekuwa vizuri ukifafanua umeinstall linux version ipi na kwa njia gani.pia kujua unatumia windows gani.Niliata maswahibu kama hili nikasolve, nilikuwa ubuntu 11.04 na win7
   
 5. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Njia rahisi kabisa ni hii:.
  Chukua CD ya Windows
  Boot na Windows CD,
  Then ukifika kwenye partition.
  Delete All linux Partitions.
  Then Stop installation. and Restart you comp
  Kama inasumbua unaweza kuinstall windows baada ya kudelete linux partition, than baadae delete partition ya new installed windows.
   
 6. Einstein

  Einstein Senior Member

  #6
  Jul 23, 2011
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama ulivyosema, ya kwamba una OS mbili, Windows na Linux.. Steps za kuondoa Linux...
  1. Start your computer and and select the Window OS
  2. Baada ya kuingia kwenye window OS, nenda kwenye run Command (Inapatikana kwa kushikilia Start button+R, au waweza sema window+R )
  3. Ukishaipata run Command, type diskmgmt.msc na utaenda kwenye Disk Management window
  4. Chagua partition ambayo ina Linux, then right click and format, au delete partition yenye Linux, narudia, partition yenye linux i-format au delete.. (Usifanye makosa hapa usije uka format partition yenye data zako)
   Kumbuka, Linux hutumia ext2/ext3/ext4 file system mara nyingi hizi partition za linux huwezi ukazifungua kwa kutumia NTFS.. Baada ya hapo usi shutdown Computer soma maelezo haya..
  5. Nenda kwenye run Command tena, type CMD ili kufungua Command prompt na u type hizi command hapa chini
   BootRec.exe /fixmbr
   BootRec.exe /FixBoot
   BootRec.exe /ScanOs

  6. Hapo hapo kwenye command prompt uki type msconfig, utapata window ambayo pia itakusaidia kuona startup feature za System yako
  7. Start your System...
  Kama kwa bahati mbaya system ikawa shutdown bila kufanya step ya 5 na kuendelea then, itakuhitaji ufanye mpango wa kuipata Command Prompt at boot time, ili kufanya steps ya 5 hili itakuihitaji upate cd ya OS window iliyo kwenye system yako.. then fata steps za link hii

  Command Prompt at Startup - Windows 7 Forums

  Ukishaweza kuipata Command Prompt, fanya step ya 5.. Then ukiwa umeishafanya 5th step mambo yatakuwa mswano... Just Zima computer na ustart tena..
   
 7. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  na mimi hiyo hiyo 11, win 7. Sikuweka mimi, my frnd dd na hayupo kwa sasa
   
 8. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  cd rom imekufa, huku kijijini nilipo siwezi kupata external cd rom
   
 9. P

  Paul S.S Verified User

  #9
  Jul 23, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu tembelea link hii How To Safely Uninstall Ubuntu From A Windows Dual-Boot PC
  Kwakuwa mimi pia cd rom yangu imekufa nilichofanya badala ya kuweka windows 7 dvd, niliizima wakati wa kuwasha nikabonyeza F8 kisha nikachagua repair your computer kisha nikaenda hadi hadi command prompt na kuingiza zile command kama zilivyo ktk link
   

  Attached Files:

Loading...