Nawezaje Kufahamu kama niko Blocked - Yahoo Messenger? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawezaje Kufahamu kama niko Blocked - Yahoo Messenger?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ilulu, Jul 23, 2011.

 1. Ilulu

  Ilulu Senior Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2008
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wataalamu,
  Naomba msaada wa nini naweza kufanya ili kujua/kugundua kama nimekuwa blocked ku-chat katika yahoo Messenger na mtu ambaye siku zote nimekuwa na-chat nae ila ghafla simwoni online wala kujibu email zangu.
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Hakuna njia zaidi ya kumwuliza.
   
Loading...