Last month, nilitoa habari kwamba Nokia N9 might be powered by MeeGo instead of Symbian Anna. Likewise, this gave enthusiasts hope that Nokia will still push the MeeGo platform despite the looming...
Jamani naomba mnisaidie labda nipo mbali na media, nilikuwa na nimejiunga na huduma ya Airtel ya 400MB ambayo huwa naitumia siku zote, ilipofika jana ikaisha leo saa 10 jioni nikajiunga tena kwa...
Msaada waatalam wa computer.Hivi majuzi desktop imegoma ku start kabisa,nilihisi tatizo ni PSU lakini baada ya uchunguzi nilibaina output voltages zote sawa.Nimetrace tatizo down to mobo au...
Msaada waatalam wa computer.Hivi majuzi desktop imegoma ku start kabisa,nilihisi tatizo ni PSU lakini baada ya uchunguzi nilibaina output voltages zote sawa.Nimetrace tatizo down to mobo au...
Hali zenu wakut. Mimi tatizo langu ni modem ya huawei kwenye counter reset. Kila nikijaribu kureset modem ya huw e173 inakataa nimejaribu counter reset aina 2 zote zimegoma. Je kuna counter reset...
Kwenye matangazo na documentation za internet packages zinazotolewa na tigo (3.5G network, simu na modem), sijawahi kuona sehemu wanazungumzia speed. Wanazungumzia tu package, ya chini inaanza...
Simu yangu Nokia 3110c inawaka ma kuzima,nadhani inavirus make nimekua nikidownload nyimbo kutoka kwenye intanet,naombeni msaada jinsi ya kuifufua make kwa sasa alama ya nokia ikishaonekama tu...
Guyz am lukin 4 a machine(desktop or laptop). Nimeokoteza kama kilo 5 na nusu. Iwe used or mpya as long as iwe fiti kiaina. So kama kuna mtu anaweza kunielekeza wapi au kunishaur. Am vry serious...
Utafiti uliofanywa unaonyesha kuwa watumiaji wa Internet Explorer wana IQ ndogo. Utafuti umekuta kwamba wanaotumia Chrome, Firefox na Safari wana IQ ya kati na wale wanaotumia Camino and Opera...
Jamani nina htaji kfanya kazi kama nilivyo htimu masomo yangu ya IT katka chuo cha NEW HORIZONS CENTRE at Dar es Salaam branch.
Lakini tangu nihtimu sijaifanyia kazi professional yangu ninafanya...
wanajamvi kuna mtu sijui kaifanyaje laptop yangu DELL INSIPIRON N5030 kwani ikiwaka tu na kabla haija boot inataka niweke password nahisi ni system password. Swali ni je nitazipata wapi? au je...
jQuery ni libray ya script inayorahisisha na kumuondolea web designer au developer kazi ngumu ya kukumbuka mistari ya javascript. Nimekuwa na jaribu baadhi ya script na code za jQuery na...
ningependa kufahamu kama kuna namna yoyote ya kuweza kuendelea kutumia this antivirus,baada ya trial period kuisha (31 days),well nimeidownload kwenye simu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.