mwakyoma2011
Member
- Mar 10, 2011
- 17
- 0
Naombeni mnisaidie jaman maana ina vitu vya ofisi, JINSI YA KUTOA PASSWORD MM CJUI
naomben mnisaidie jaman niweze ku recover password ya external yang western digital passport 1tb
Mkuu umeelewa swali kweli wewe?unatumia software gani kwenye hiyo password
Kama umefanya encryption hautaweza kuzipata hata kwa kutumia Linux. Data zinavurugea kwa makusudi ili zisisomeke, kuzipanga unahitaji password.