Fatma Bawazir
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 492
- 180
Voda wamenzisha package mpya wanaiita SPIDI 7 ambapo unalipia tsh 15000,unapata 1GB only ambazo utaweza kutumia kwa wiki moja kwa UNLIMITED speed. Kumbuka BOMBA7 au BOMBA30 (tsh 30,000 kwa mwezi) wameku- limit speed only 64kb/s, na hii huduma ya bomba7/ bomba30 bado inaendelea kutolewa.
Waweza kuperuzi Get More Speed with Vodacom Spidi Internet