Google wameinunua Motorola!!

Google wameinunua Motorola!!

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,694
Reaction score
2,588
$12.5 Billion!
Mtengenezaji wa simu na tablet za Android Mototola ambaye juzi, juzi alitangaza kuwa amepata hasara na pia alitangaza nia ya kuwashitaki watengenezaji wengine wa Android kwa matumizi ya patents zake amenunuliwa na Google (anayeiendesha Android).
 
Nadhani hili ni jibu kwa
  • Ndoa ya Mirosoft na Nokia na ushindani wa apple na iphone
  • Market needs ambazo mueleeo wake ni mobile ndioinatawala soko sana.
 
hawa jamaa wanaonunua tu makampuni lakini hawataki kuturahisishia na sisi tumiliki vimeo vya ukweli..

kitu chengine lini hawa jamaa wa apple wanafungua hilo duka lao..
 
Weka link basi tupate more info

sijui huyu mkuu kaita wapi

ila wa latest tech & gadegt news kuwa unapita mitaaa hii TechCrunch

Usisahau kuturushia habari nzuri ukikuta huko maana smetime huwa naipotezea kwa siku kadhaaaa
 
hivi kesi ya Google na Oracle juu ya Android imeishia wapi?
 
hawa jamaa wanaonunua tu makampuni lakini hawataki kuturahisishia na sisi tumiliki vimeo vya ukweli.. <br />
<br />
kitu chengine lini hawa jamaa wa apple wanafungua hilo duka lao..
<br />
<br />
teh teh kaka ucwe na shaka watafungua soon
 
Back
Top Bottom