Fungua bios password kwenye computer yako

Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
906
Hi Guyz,
Kuna wakati niliwahi kuandika kuhusu namna ya kufungua bios password kwenye compter(laptop na desktops). Nimekuwa nafuatilia hiyo kitu for sometime now.
So nimekuja hewani on the same topic but kuwataarifu tu kuwa the lesson time is out and that kwa sasa yeyote mwenye sifa zifuatazo anatakiwa kunitafuta;
1. Awe na computer iliyofungwa bios password.
2.Awe na uhakika hiyo computer hajaiba ua haijapatikana illegally.

Napenda ijulikane publically kuwa kwa kusema hivi nakusudia kuwasaidia watu wenye matatizo na computer zao kweli na sijasema watu waibe laptop za watu ili zifunguliwe hapa na wala sim-encourage yeyote kujaribu kuja kunidanganya. I HEREBY DENY ANY RESPONSIBILITY FOR ANY CASE UNDERWHICH A CUSTOMER HAS FAKED THE IDENTITY OF OWNERSHIP and that I WILL PERSONALLY SUBMIT THE ACCUSED to the Concerned legal upholders

KARIBUNI SANA!
 
Hivi mkuu una habari ya kuwa laptop za sasa password haiposaved katika bios bali ina be saved katika cache memory chip did u know how to remove it?
 
hivi unapo clear cmo au unapo toa bettry ya cmo kuna password ina weza ikabaki kweli
Yeah kwenye laptops nyingi password haifutiki ukitoa CMOS battery, inabidi uwaombe manufacturer wakufungulie (unahitaji ushahidi kuwa ni yako) au uifungue laptop uishoti chip ianyohifashi data, hii inategemea na laptop.
 
sijakuelewa ndugu yangu , kama BIOS password hazitunzwi kwenye Cmos Battery , inatunzwa wapi ? na hizo other BIOS information zinakuwa wapi ? manufacturer wanatoa technologia gani kukufungulia wakati password ni privacy yako ambayo haingii katika server zao ?
unaweza ukatoa msaada zaidi ndugu yangu
 
kila ki2 kinapatikana youtube.lecture za aina zozote,ufundi na technologia za kila aina na hata zilizo be inovated jana.hyo ni kwa msaada zaidi.
 
sijakuelewa ndugu yangu , kama BIOS password hazitunzwi kwenye Cmos Battery , inatunzwa wapi ? na hizo other BIOS information zinakuwa wapi ? manufacturer wanatoa technologia gani kukufungulia wakati password ni privacy yako ambayo haingii katika server zao ?
unaweza ukatoa msaada zaidi ndugu yangu

BIOS password inahifashiwa kwenye chip ambayo haipotezi memory ikipoteza umeme, ifikirie kama PIN ya SIM card ya simu haihitaji umeme.

Manufacturers wanaweka mlango wa nyuma (backdoor password) kwenye hizo chip, password hii inategemea serial number ya kompyuta kisha inapitishwa kwenye algorithm (nadhani ni cryptographic hash) ambayo inakupa password, so ukiwapa serial number wana uwezo wa kukokotoa hiyo backdoor pass, so hawana haja ya kujua password yako.
 
Hivi mkuu una habari ya kuwa laptop za sasa password haiposaved katika bios bali ina be saved katika cache memory chip did u know how to remove it?
Thank you for the notice! Being frank sikuota hiyo! Can you just help me kuhusu usasa wa laptop? una maana za aina gani au za kuanzia mwaka upi? Ntafurahi kuanza hiyo homework na natanguliza shukrani for the challenge.
 
Back
Top Bottom