CDMA Modem

doup

JF-Expert Member
Feb 26, 2009
2,346
2,151
jamani msaada kwa yoyote anayefahamu wapi naweza pata modem inayosuport CDMA, nina lSIM card ya TTCL.
sina uhakika kama hizi modem nyingine zenye kusupport WCDMA,EDGE,HSPDA,GPS etc inaweza faa, niliyo nayo ni ya voda siwezi kuitest kwa TTCL
 
hiyo CDMA mi nikadhani CHADEMA, anyways moderm karibu zote sokoni zinasapoti hiyo kitu, chukua hata ile ya voda ya elfu 15 afu unweka line yeyote
 
CDMA na GSM haziingiliani kwa end user.

Why ask mapishi ya samaki aliyechina?????
 
jamani msaada kwa yoyote anayefahamu wapi naweza pata modem inayosuport CDMA, nina lSIM card ya TTCL.
sina uhakika kama hizi modem nyingine zenye kusupport WCDMA,EDGE,HSPDA,GPS etc inaweza faa, niliyo nayo ni ya voda siwezi kuitest kwa TTCL
Why usingewaona wao TTCL wenyewe? Alternatively modem za Zantel na Sasatel zinweza kukubali but zitakutaka uzichakachue first. Ushauri; nenda na modem of any type among those I mentioned kwa TTCL waambie unataka waifanyie mambo ili iingie chip yao. I do hope watakusaidia
 
yote ya nini. modem zenyewe zote zimekuwa bei chee siku hizi. less than elfu 30.
 
Back
Top Bottom