Nimedownload nimeshindwa kuplay! Msaada!

Nimedownload nimeshindwa kuplay! Msaada!

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,502
Guys, nimedownload movie thru Vuze program ila si computer wala DVD player imeweza read hiyo movie! Nimejaribu kuifungua kwa Window media player, na quick time with no avail!

Si mtaalamu wa programs kabisa, mafile ni type MKV na SMI na SRT.

Nisaidieni mwenzenu niimalizie weekend vizuri!
 
Thanks uncle; lemme try that!
 
Mkuu, tumia VLC kuplay hiyo movie yako..... VLC kwa sasa ndio the best ambayo inacodec nyingi zaidi za kuweza kuplay format mbali mbali za video... Download hapa Download VLC media player from SourceForge.net VideoLAN - Official page for VLC media player, the Open Source video framework!

Au kama bado unataka kutumia windows media player kuplay movie zako (yako), download na install K-Lite Codec, utasolve everything.
K-Lite Codec: http://www.free-codecs.com/download_soft.php?d=6461&s=775
 
Mkuu, tumia VLC kuplay hiyo movie yako..... VLC kwa sasa ndio the best ambayo inacodec nyingi zaidi za kuweza kuplay format mbali mbali za video... Download hapa <a href="http://sourceforge.net/projects/vlc/files/1.1.11/win32/vlc-1.1.11-win32.exe/download" target="_blank">Download VLC media player from SourceForge.net</a> <a href="http://www.videolan.org/vlc/" target="_blank">VideoLAN - Official page for VLC media player, the Open Source video framework!</a>
<br />
<br />
Nakuhunga mkono mkuu VLC ni mojawapo ya players ambazo zindhihilisha what an Open Source community can do wanapo marshal their heads together wanatoa vitu vikali hata Bill Gates na Jacob Jobs hawaoni ndani. Hila sina hakika kama VLC ina codecs za ku-playback file format alizosema muomba ushauri, la mwisho wakati mwingine players nyingine zinakuwaga na codecs za kuplay back any file format hila zinapashwa kuwa activated au kuwa downloaded kutoka sites za owner/vendor wa players husika.
 
Thanks guys!
Hati fu..ing maye nimefanikiwa!
Have the blessed rest of the weekend!
Baadaye!
 
Nakuhunga mkono mkuu VLC ni mojawapo ya players ambazo zindhihilisha what an Open Source community can do wanapo marshal their heads together wanatoa vitu vikali hata Bill Gates na Jacob Jobs hawaoni ndani. Hila sina hakika kama VLC ina codecs za ku-playback file format alizosema muomba ushauri, la mwisho wakati mwingine players nyingine zinakuwaga na codecs za kuplay back any file format hila zinapashwa kuwa activated au kuwa downloaded kutoka sites za owner/vendor wa players husika.

Mkuu, ina play hiyo format ya MKV.... Angalia hapa VideoLAN - VLC - Features
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom