NAUZA BLACKBERRY curve 3G 9300 yangu 270,000....

HEY GUYS BLACKBERRY YANGU NIMETUMIA 2MONTHES ONLY IF UKO INTERESTED mail me hilblac@hotmail.com .

Mkuu Yaani unauza simu alafu unasema interested akutafute kwa mail!!!!!!! . Naona unafanya maisha ya wanunuaji wa hiyo simu yawe magumu kama maombi ya kazi.

Kama unawasi wasi na privacy zako nunua chip mpya weka kwenye hiyo blacberry unayouza waandikie watu number za kukupata hapa. Tena hii thread ilitakiwa kule kwenye matangazo madogp madogo

Hii ni sawa na kutangza biashara ya gari kwa kutumia baiskeli
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom