No more Facebook on 5 November 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

No more Facebook on 5 November 2011

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by SHAROBALO, Aug 11, 2011.

1. SHAROBALO

SHAROBALO JF-Expert Member

#1
Aug 11, 2011
Joined: Mar 17, 2011
Messages: 780
Likes Received: 101
Trophy Points: 60
hacking group Anonymous has vowed to "kill" social networking site Facebook on 5 November 2011.

Speaking via a YouTube video, the group also claims that "Facebook has been selling information to government agencies and giving clandestine access to information security firms so that they can spy on people from all around the world. Some of these so-called whitehat infosec firms are working for authoritarian governments, such as those of Egypt and Syria.

The hacktivist collective, who recently replaced the Syrian Ministry of Defence website with one of its own, claims that, come bonfire night (as the day is celebrated in the UK), the "medium of communication you all so dearly adore will be destroyed". It also goes on to say that other hackers should "join the cause and kill Facebook for the sake of your own privacy.

it'll happen at 16:05 GMT

Source: Anonymous: We'll kill Facebook on bonfire night - Yahoo!

Bora Ife maaana tumechoka kupokea msg mtu hata akinunua chungwa ana post halafu likes 100!! ahaa

Mdada akipost status yoyote ya kipuuzi anapata 50 likes and 500 comment while Mkaka akipost swala hata la maanaa anapata LIKES 0 na COMMENTs 3 tu!!

ahaaaa nyi mwaonaje wakuu!!

2. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#2
Aug 11, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,369
Trophy Points: 280
Wafungeeeee! Maana nitakuwa nasoma sasa!

3. rosemarie

rosemarie JF-Expert Member

#3
Aug 11, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 6,767
Likes Received: 1,023
Trophy Points: 280
mkuu waifunge,kwanza watu wanapoteza muda mwingi kwenye facebook kul;iko kufanya kazi

4. Dr-of-three-Phd

Dr-of-three-Phd Senior Member

#4
Aug 11, 2011
Joined: Oct 20, 2010
Messages: 194
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
I guess it is clossed for sure! no access at all!

5. Guyton

Guyton JF-Expert Member

#5
Aug 11, 2011
Joined: Jan 15, 2011
Messages: 252
Likes Received: 12
Trophy Points: 35
Itakua vizuri sana kwa kuwa watoto wa secondary walishaanze kuifanya uwanja wa matangazo ya usista duu na ubraza men, internet ina mambo mengi mazuri ambayo yangewasaidia kwenye masomo ila wao wakiingia internet ni fb.

6. SHAROBALO

SHAROBALO JF-Expert Member

#6
Aug 11, 2011
Joined: Mar 17, 2011
Messages: 780
Likes Received: 101
Trophy Points: 60
haha sasa sijui itakuwaje maana kula mtu nipo facebuku sasa ikifaa utasikia nipo JF

7. SHAROBALO

SHAROBALO JF-Expert Member

#7
Aug 11, 2011
Joined: Mar 17, 2011
Messages: 780
Likes Received: 101
Trophy Points: 60
Kweli watoto siku hizi hawasomi wao wapo na visimu vyao mara internet cafe ahaa..na picha zao za photo point ukiwaona loh..unaweza kimbia

8. SHAROBALO

SHAROBALO JF-Expert Member

#8
Aug 11, 2011
Joined: Mar 17, 2011
Messages: 780
Likes Received: 101
Trophy Points: 60
bado hadi november!!!labda ipo blocked hapo unatumia ofisini au nyumbani nikupe mbinu za kuchakachua kama wameiblock

9. Mwendabure

Mwendabure JF-Expert Member

#9
Aug 11, 2011
Joined: Mar 10, 2011
Messages: 2,054
Likes Received: 296
Trophy Points: 180

Hao jamaa (hackers) wameamua kusitisha baada ya kutokea kutoelewana miongoni mwao kuhusu suala hilo.
Chanzo: www.rt.com (Russia Today)

10. Kang

Kang JF-Expert Member

#10
Aug 11, 2011
Joined: Jun 24, 2008
Messages: 5,121
Likes Received: 616
Trophy Points: 280
Hawana ubavu huo.

11. SHAROBALO

SHAROBALO JF-Expert Member

#11
Aug 11, 2011
Joined: Mar 17, 2011
Messages: 780
Likes Received: 101
Trophy Points: 60
chanzo chako hakichajitolsheleza mkuu tupe zaidi tupe link

12. Nazjaz

Nazjaz JF-Expert Member

#12
Aug 11, 2011
Joined: Jan 20, 2011
Messages: 5,345
Likes Received: 1,139
Trophy Points: 280
acha hiyo Facebook ifungwe tu, ntalia wakinifungia Jamii Forums

13. SHAROBALO

SHAROBALO JF-Expert Member

#13
Aug 11, 2011
Joined: Mar 17, 2011
Messages: 780
Likes Received: 101
Trophy Points: 60
lisemwalo lipo mkuu ngoja tusubirie!! wamejiamini nini hadi kutangaza siku na saa?!!cjui watafanyeje wenzao walishindwa

14. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#14
Aug 11, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160
na isipofungwa itakuwaje tunarudi enzi zile za hi5 ndo na hisi hivyo..

15. mojoki

mojoki JF-Expert Member

#15
Aug 11, 2011
Joined: Oct 21, 2010
Messages: 1,333
Likes Received: 32
Trophy Points: 145
nimeona sababu zenu sijaona hata moja ya msingi ya ku support fb kufungwa...kwa mtiririko wa sababu zenu hizo haba nadhan zingeanza kufungwa guest

16. Ze burner

Ze burner JF-Expert Member

#16
Aug 11, 2011
Joined: Jan 5, 2011
Messages: 460
Likes Received: 2
Trophy Points: 33
mnamo mwezi wa disemba mwaka jana mmiliki wa FB alitangaza kuifunga web hii mnamo mwezi wa machi mwaka huu kutokana na madai kwamba mtandao unatumika kinyume na utaratibu ie uchafu mtupu.
Ila hapa kuna kitu kimoja kuhusu utumiaji wa taarifa za kimitandao. inasemekana kwamba program zote za microsoft ni rahisi kuzihack that is why kule duniani kwenye servers kubwa kubwa wanatumia program za kampuni nyengine kama vile linux, unix, mac nk. hivyo sisi tunaotumia progs za microsoft ni sawa na tuko uchi no privacy at all.

17. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#17
Aug 12, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,369
Trophy Points: 280

hahahahaaaa! :)

18. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#18
Aug 12, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,369
Trophy Points: 280
Kama ww ni mtumiaji mzuri wa facebuk utagundua mpaka hivi sasa imeanza kusumbua na inagoma mara kwa mara. Ni tatizo ambalo frnds zangu wanasema kuwa wameliona. Wikileaks ilivujisha kuwa fb inashirikiana na cia.. Pia inatoa siri za makampuni na taasisi mbalimbali. Kumbuka ina member zaidi ambao facebuk ingekuwa ni nchi ingekuwa ni nchi ya tatu katika wingi wa watu. Itakuwa hasara kubwa ikifungwa.

19. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#19
Aug 12, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,508
Likes Received: 2,249
Trophy Points: 280
kumbe tatizo ni hapo kwenye kugombea likes na comments? why on earht shld u care if pple comment on what is on ur mind? it is there anyways...!

20. Anyisile Obheli

Anyisile Obheli JF-Expert Member

#20
Aug 12, 2011
Joined: Dec 13, 2009
Messages: 3,304
Likes Received: 19
Trophy Points: 135
wote wezi tu falme zao zimefitinika sasa wanahangaika aibu yao

Loading...