Dell latitude d630 smart chip modem

Dell latitude d630 smart chip modem

Lepapalongo

Member
Joined
Jan 28, 2009
Posts
92
Reaction score
11
Jamani naombeni msaada,ni jinsi gani ninaweza kutumia smart chip pale nyuma ya betri maana kuna nafasi hiyo kwa kudaka network kama modem.
 
ingia hapa Drivers & Downloads chagua windows unayo tumia download driver hii DELL_WIRELESS-5520-VODAFONE-_A07_R216764 baada ya hapo install chukua chip yako ya mordem kama ni tigo, voda au airtel weka kwenye sehemu inayokaa line nenda kwenye program ulio install fungua conect to internet hakikisha bluetooth iko on hiyo ndio mordem yako huna haja ya kuhangaika na mordem huo ndio ubora wa dell na hiyo iko powerfull kuliko mordem
 
ingia hapa <a href="http://support.dell.com/support/downloads/driverslist.aspx?os=WLH&amp;catid=20&amp;dateid=-1&amp;impid=-1&amp;osl=EN&amp;typeid=-1&amp;formatid=-1&amp;servicetag=&amp;SystemID=LATITUDE+D630&amp;hidos=WW1&amp;hidlang=en&amp;TabIndex=&amp;scanSupported=False&amp;scanConsent=False" target="_blank">Drivers &amp; Downloads</a> chagua windows unayo tumia download driver hii DELL_WIRELESS-5520-VODAFONE-_A07_R216764 baada ya hapo install chukua chip yako ya mordem kama ni tigo, voda au airtel weka kwenye sehemu inayokaa line nenda kwenye program ulio install fungua conect to internet hakikisha bluetooth iko on hiyo ndio mordem yako huna haja ya kuhangaika na mordem huo ndio ubora wa dell na hiyo iko powerfull kuliko mordem
<br />
<br />
sr. Hiyo sooftware ina2mika hata kwenye DELL D620 ?
 
Mbona kwenye dell620 hakuna option ya kuchagua window 7
 
Dada Fatma, vipi kuhusu D830 inatumia window 7
Bosi Masiko mi siyo Sister Fatma and I do apologyse for the interfearance but napenda nikupe technical advice. And that is;
Hiyo laptop yako(Dell latitude D830) haijawa designed for windows 7. Kama ilitokea ukaikuta na hiyo windows ni coz huenda iliwekwa na mtu baada ya kuipurchase.
Having said that nafikiri thats why ukienda kwenye dell suport page hutakuta anything of win7. So, jaribu kudownload drivers na dashboards za windows vista na/au xp then install. Zikikataa hazitacouse any harm to your laptop so utazitoa(uninstall) kuepuka kujaza nafasi bure. Alternatively angalia hiyo win7 ni ya bits ngapi na in case ni ya 64 then you might want to consider drivers za win vist 64 bits too. Ukikwama kabisa na bado unataka kutumia hiyo onboard modem then consider this story;
That; as I previosly said,your computer was designed for win XP and Win Vista 32 & 64 bits. So why don't you go back to where it belongs?
Rudisha one of those OSs. How about that?
 
mimi pia ninatumia D630 NIME download hiyo driver bt ninapo install inagoma nakusea THE DEVICE COULD NOT BE DETECTED
 
Untitlede.jpg

win 7 inaingiliana na vista mimi natumia win 7 nimeinstall driver ya win vista imekubali
 
Back
Top Bottom