Puk

Puk

Mantz

Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
97
Reaction score
30
Wana JF,

Kuna namna yoyote ya kupata PUK baada ya sim pin kuwa blocked? Kama ipo tafadhali naomba msaada wenu. Ni sim yangu ya siku nyingi hivyo hata starter pack yenye PUK siioni.
 
Unatumia mtandao gani?

Kama ni Voda; andika msg PUK kisha namba ya simu kisha tuma kwenda 123

Otherwise dial Customer care
 
Back
Top Bottom