watch tbc with airtel tigo na hata zantel na voda hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

watch tbc with airtel tigo na hata zantel na voda hapa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chief-Mkwawa, Jul 3, 2011.

 1. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,150
  Trophy Points: 280
  Simple copy hii adress then watch rtsp://196.28.65.226/diactus/movie.3gp?weUE9Qdy3GHWo2-5Tpic3b47H(i8afKugOTAdmjZcV1ljArP1641PQ7ee3h-yN20
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,150
  Trophy Points: 280
  kama mwataka na zile chanell nyengine post chanell yako. Ila ya kitanzania ni hio tbc tu
   
 3. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  • 1 Download VLC Media Player (see Resources).
  • 2 Install and open VLC Media Player.


  • 3 Click "Media," then click "Open Network Stream."


  • 4 Type or copy and paste the address of the RTSP stream you want to view and click "Play."
   .................................................................................................................................................................................................................  kwa kwa mnaotaka kuangalia hii link hapo juu, fanyeni hivi,

  Lazima uwe na VLC au window media player,Winamp, n'k. Mimi natumia VLC na nitawaonyesha namna ya kutumia VLC,


  Kama hauna VLC download hapa
  VideoLAN - VLC: Official site - Free multimedia solutions for all OS! baada ya ku-istall ifungue VLC
  [​IMG]
  Baada ya kuifungua nenda kwenye "Media" shuka shini hadi kwenye "Openi Network Stream"

  [​IMG]

  Baada ya kufungua Open network stream, paste hiyo link yako hapo juu kama inavyo onekana kwenye picha, the malizia kwa ku-Play,Anza kujiburudika na vipindi unavyo vipenda....Ila lazima Internet yako iwe na speed ambayo siyo kubwa sana utaweza kutizama TBC vizuri tu pasipo kukatika katika.


  [​IMG]
   

  Attached Files:

  • VLC2.jpg
   VLC2.jpg
   File size:
   49 KB
   Views:
   1,074
  • VLC.jpg
   VLC.jpg
   File size:
   68.6 KB
   Views:
   1,074
 4. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hakuna kitu mbona.....ufafanuzi????
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,150
  Trophy Points: 280
  mi natumia kama streaming links ambayo inakaa kwenye gallery ya simu yangu. Kaka simu yako ina real player? Kama inayo ili kuona streaming links kama hizo nenda setting ya real player eka access point ya mtandao wako
   
 6. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hakuna cha simu mkuu, now na tizama TBC Live kupitia Laptop yangu natumia VLC, Ubarikiwe sana mkuu... Ninge kugongea thanx ila hamna but nime like post yako... Mkuu, naomba RTSP, url link za channel nyingine pls.
  [​IMG]
   

  Attached Files:

  • TBC.jpg
   TBC.jpg
   File size:
   209.4 KB
   Views:
   1,119
 7. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sasa nitakuwa narekodi baadhi ya upuuzi wa TBC
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,150
  Trophy Points: 280
  ok kaka nashukuru nipe mda nikukusanyie channel za dstv
   
 9. P

  Paul S.S Verified User

  #9
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Umefanyaje mkuu, umecopy na kupest ktk nini?
   
 10. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Angalia Post # 3 toka juu mkuu.
   
 11. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Uncle Rukus naomba maelekezo ya namna ya kuchora mistari myekundu hapo juu kwenye maelekezo yako!
   
 12. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu, kama unatumia windows 7 Paint yake ina Shapes nyingi tu ambazo ndizo unachangua unataka ipi kwa ajili ya kuchora unachokata...
  Tizama kwenye PAINT yako ya windows 7 kwenye "Shapes" utaona ICON mbali mbali ndizo unazoweza kuzitumia kuweka michoro kama inavyo onekana kwenye picha nilizoweka hapo juu. Nadhani umenielewa? kama umekwama mahali unaruhusiwa kuuliza mkuu.
   
 13. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Natumia Window XP!
   
 14. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Mabadiliko chini ya uongozi mpya wa Mkurugenzi Clement Mshana.

  [​IMG]
   
 15. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pole mkuu, kwa upende wa XP nimesahau kama hizo shapes zipo or hamna,labda watumiaji wa XP watakujuza
   
 16. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mabadiliko gani hayo mkuu? toka ameingia hapo TBC hamna lolote alilofanya zaidi ya kuifanya TBC kuonekana Kama Mali ya chama flani hivi...
  Kumbuka kuonekana kwa TBC kwa Njia hii ya kiuchakachuaji siyo lengo lao wala DSTV bali tu ujanja ujanja ndio umetuwezesha kutizama hii tv...Na mda siyo mrefu wakigundua kuwa ata watu wasio watumiaji wa Vodacom wanatiza channel za DSTV kinyuma na matarajio yao watatublock
   
 17. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Mkuu, TBC ni media ya serikali, Mkurugenzi anapewa job description inayosema mwajiri wako TBC ni mali ya serikali, serikali ya CCM, unadhani afanyeje, atetee policies za NCCR-Mageuzi?

  Ndio maana duniani kote watu hawathamini sana state-run television. Tanzania tumelala tunasubiri state-run television itupe objective news coverage. The revolution will not be televised
  on state-controlled media.

  Kwa sababu sitegemei mengi kutoka TBC ndio maana nawapa credit kwa kwenda na wakati na ku stream live programs.
   
 18. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  safi sana mkuu yuzidi kupeana habari
   
 19. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hamna mabadiliko kama unavyosmea rukuz . TBC wanashindwa hata uwa na channel yao Youtube ta kuweka cip muhimu hata kama ni za magamba. Ukiangalia kwenye tvuti yao utacheka kwenye youtube itu utakachokuta.
   
 20. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Hata BBC ni state run televsion na inaedehswa kwa pesa za walipa kodi. Ukiacha propaganda zao za mambo ya nje wana vipindi vizuri sana wana documentary nzuri sana. Yaani TBC hata katika kutika habari za magamba bado wako nyuma.

  Tembelea Tovuti yao hakuna hata clip moja ya audio au video ya a JK . TBC inakuwa kama ni tovuti ya gazeti. Wameshindwa hata uweka propaganda zao za CCM kwenye free channel youtube.
   
Loading...