Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

niaje wakuu? salaam sana popote mlipo. swali langu ni dogo tu,nahitaji kununua simu moja kati ya hizo kwaio nahitaji kufahamu ipi ni the best interms of internet capabilities,applications etc...
1 Reactions
50 Replies
6K Views
Heshima yenu wakuu! Tafadhalini naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie hili, nataka kuunganisha Huawei modem kwenye Laptop yangu, inatumia OS ya Window 7! Nimejaribu hii Modem kwenye Window XP...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
iOS 5 was unveiled at WWDC earlier this week and introduced a ton of new features to the iPhone, iPad and iPod touch. Some of the key highlights included a new notifications center, WiFi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
hivi kuna uwezekano wa kupata files za minisd card ambayo nimeiformat?
0 Reactions
2 Replies
865 Views
Waging standard wars is one of those annoying, but unavoidable flaws in today’s setup of the technology industry. In a perfect world, there would only be one standard defining a technology, but...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
naomba kujua how to connect blackberry phone in my case 8520 via bluetooth to my laptop so that i can use it to access internet using the same data plan for this blackberry,ninatumia data plan ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ijulikane kuwa hii ndio the best Database kwa sasa hivi.Kama umetumia Oracle utakubaliana na mimi. Je watanzania tuna watu wenye ujuzi wa administration,developing kwenye Oracle? Siku za karibuni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Apple yafungua AppStore Tanzania Bendera ya Tanzania, chini kulia ikithibitisha kuwa hii ni Appstore ya Tanzania Kwa muda mrefu sasa tumepunguza kasi ya kuandika makala mpya kwa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
E.A COMBINED • View topic - ANONYMOUS HACKERS arrested!?? More than a dozen individuals believed to be linked to the hacktivist collective Anonymous were arrested this morning in a sting...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ya wkend wakuu? Ninatumia simu aina ya samsung A877 AT&T Sasa nimejiunga na hii huduma ya Dstv mobile,lakini huduma hii siipati vizuri inaonyesha hizi TV kwa shida sana inakatika mno...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu ufanyaji kazi wa hivi vitu naona kama zinafanana.kwamba kila kimojawapo inawezekana kinatumiwa mawasiliano ya kipekee na provider wa huduma tofauti na matangazo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuanzia siku tatu zilizopita nimekuwa nikipokea emails za ajabu ajabu toka kwa ndugu na marafiki wanaotumia Yahoo. Wao wanasema hawajatuma hizo messages. Inaonyesha labda password zao zimekuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
As of today, this monitor is now officially revealed by the company re-branded as "Apple Thunderbolt Display". On a nutshell, this device works just like any other monitor but of course, it has...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
habari za j,pili ya leo wana jf.natumai mpo salama kwa uwezo wake yeye aliye tuumba.jamani mimi flash disc yangu imekumbwa na tatizo hili. msaada wenu tafwadhari.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina simu ya Nokia model 2690 ninataka kuunganisha na internt ya tigo naombeni msaada wa maelekezo natanguliza shukrani zangu wanajamii foram.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Source: E.A COMBINED • View topic - Fake Apple Store spotted in China Fake Apple Store spotted in China Fake Apple Store with fаke Apple products wаs spоtted in China...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari ya J3 wakuu. Nahitaji Battery ya Lenovo N200 haraka iwezekanavyo. Kama unayo, au kuna mdau unamfahamu anayo tafadhali tuwasiliane. Ukini-PM inakuwa vizuri pia. Asante.
0 Reactions
0 Replies
969 Views
wakuu msaada pls wa motorola L6 keypad imekuwa locked,hata ukizima ukawasha ni vilevile,yaani keypad yote haifanyi kazi​
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Wakuu naombeni msaada, CD-ROM ya computer yangu haisomi CD ya aina yoyote. It happened kwamba mtu aliweka DVD chafu, then from there hafanyi kazi. Ukiweka CD inarespond kama kawaida, taa inawaka...
0 Reactions
1 Replies
967 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…