Wataalam naomba kuuliza nikiwasha desktop yangu inaniambia no boot device,haifunguki tena tatizo lipo wapi naomba msaada

Cheki kama hakuna USB flush disk zinaweza kusababisha hil tatizo. Otheriwise HDD yako imekufa.

Otherwise Washa nenda kwenye BIOS( bonyeza f2 au f 12 sijui ni brand gani ) uone kama HDD bado inatambulika au imekufa.....

bro nashukuru naona HDD haisomi,naomba unijuze nini kinachofanya mpaka ikafa,ni mpya kabisa hata mwez haijamaliza 80GB.

Cheki kama hakuna USB flush disk zinaweza kusababisha hil tatizo. Otheriwise HDD yako imekufa.

Otherwise Washa nenda kwenye BIOS( bonyeza f2 au f 12 sijui ni brand gani ) uone kama HDD bado inatambulika au imekufa.....

inasema no HDD INSTILLED JAPO IMEWEKWA

inasema no HDD INSTILLED JAPO IMEWEKWA

Hiyo HDD yako inaweza ikawa nzima just check BIOS set up kama ipo kwenye cd rom au floppy lazima itakwambia hivyo tu,try to chamge it na ya kwanza iwe hiyo hdd

bwana osaba umenipa idea ni kweli bios set up ipo kwenye floppy disk je nawezaje kuipeleka kwenye hdd ndugu.

Desktop yako ina HDD ya sata na ina setup za floppy kwenye BIOS.

Je unaweza kutaja brand na model ya hiyo Desktop ?
natumia windows xp Dell optiplex gx 520.