Naomba maujuzi jamani inauma sana!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba maujuzi jamani inauma sana!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Yericko Nyerere, Aug 6, 2011.

1. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#1
Aug 6, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,833
Trophy Points: 280
Kutokana na mazingira yetu ya uswaz nalazimika kuweka kwenye simu yangu mobile traker sotwer!

Juzi tu vibaka wamechana dirisha na kuiba blackberry yangu lakini kwa shingo upande nimenunua nyingine sasa nahitaji ulinzi wa kutosha!!

Mwenye maujuzi atudondoshee softwer hapa!

2. j

junior05 Senior Member

#2
Aug 6, 2011
Joined: May 3, 2011
Messages: 190
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Kama upo kwenye blackberry services download blackberry protect ni nzuri sana

3. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#3
Aug 6, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,833
Trophy Points: 280

Nakushuru sana toka moyoni mwangu kabisa!

4. pangalashaba

pangalashaba JF-Expert Member

#4
Aug 6, 2011
Joined: Jan 10, 2011
Messages: 1,087
Likes Received: 883
Trophy Points: 280

pole sana mkuu. kuna post hapo juu inasema 'maisha uswazi kila siku ni adventure'. hiyo style waliyumia kukuibia cm ni moja ya comments za wadau. Na ww unaishi uswazi? Tujuze kwanza.

5. doup

doup JF-Expert Member

#5
Aug 6, 2011
Joined: Feb 26, 2009
Messages: 1,172
Likes Received: 335
Trophy Points: 180
Jana nimekumbana na dhahama kubwa sana, saa tano asubuhi hivi, napigiwa simu, mtu anauliza hivi wakati unaondoka uliacha geti???, nilishindwa kuelewa mara moja, baada ya kudodosa nio nikaelewa, Kibaka kang'oa geti na kuondoka nalo mida ya saa moja asubuhi, kwani mimi niliondoka nyumbani kama saa 12:33 asubuhi. nashuku hakuingia ndani kudokoa mboga. Kwa sasa nimenoa panga langu tayari kwa kutoa adhabu siku kibaka yoyote atakapoingia kwenye anga zangu.

Kweli uswahilini kuna vituko

6. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#6
Aug 6, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Hahahaha...kweli vibaka noma!!Sasa sijui huyo alikuvizia mpaka ukaondoka....si ajabu hata na hodi alibisha mara kadhaa kuhakikisha hamna mtu!!!Pole aisee....

7. Edson

Edson JF-Expert Member

#7
Aug 6, 2011
Joined: Mar 7, 2009
Messages: 9,202
Likes Received: 721
Trophy Points: 280
F-Secure - Protection - Free Anti-Theft for Mobile - Overview

fungua link hiyo na udownload software ni free.... au kama umenunua lg nenda upande wa security then hapo select option ya mobile tracker.......

mimi natumia hiyo ya hapo juu lakini na kwa kutumia softwara yangu yenye gps naweza kuona hata location ilipo ikiwa itaibiwa....pole sana

maelekezo yote yapo hapo namna ya kuinstall

Loading...