Blackberry ebay: ushauri wenu wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Blackberry ebay: ushauri wenu wakuu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Paul S.S, Aug 6, 2011.

1. P

Paul S.S Verified User

#1
Aug 6, 2011
Joined: Aug 27, 2009
Messages: 5,933
Likes Received: 276
Trophy Points: 180
Wadau kuna ndugu yangu yuko USA nataka nimtumie pesa aninunulie simu kisha aje nayo mwezi ujao
Sio mtaalamu sana wa mambo ya ebay na hizi simu hivyo naomba mcheck hii simu RIM BLACKBERRY STORM 9530 PHONE UNLOCKED VERIZON / AT&T
Ni used na sijawahi kuwa na simu kama hii naona kama bei yake ipo chini kidogo USD 90, au ni risk sana kununua simu hizi?

LINK HII HAPA
RIM BLACKBERRY STORM 9530 PHONE UNLOCKED VERIZON / AT&T | eBay

2. Mlango wa gunia

Mlango wa gunia Senior Member

#2
Aug 6, 2011
Joined: May 3, 2009
Messages: 123
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Paulss,
Blackberry ni mojawapo ya brand name kubwa katika technolojia tuliyopo sasa.Binafsi nimewahi kutumia simu aina hiyo katika version zote 2G na 3G ni simu imara kwakweli,kuhusu bei kuwa rahisi ni kwa kwasbabu simu hizo ni model za miaka kama 2-3 iliyopita na ni used so tarajia hilo,la msingi kwanza wasiliana na ndugu yako muone mtafanyaje juu ya hilo.

3. P

Paul S.S Verified User

#3
Aug 6, 2011
Joined: Aug 27, 2009
Messages: 5,933
Likes Received: 276
Trophy Points: 180
Mkuu thanx kwa maoni, issue ni kuwa nimtumie kwa westen union kisha yeye atalipia kwa paypal yake huko huko kisha atakuja nayo bongo next month

4. Kweli

Kweli JF-Expert Member

#4
Aug 7, 2011
Joined: Jul 14, 2007
Messages: 1,124
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
Mkuu ni hivi unaweza ukapata deal nzuri tu kwa kutumia auction format kuliko hio ya BIN, kama unajua nini unataka na una uzoefu wa kuitumia ebay advance search jaribu ku set-search auction kwa private seller.
Jengine kwa hizi simu za touch screen BB wamefeli kidogo kwa sababu hazina umadhubuti, nahisi bora kama unahitaji BB basi nakushauri Bold 9700, ila nazo wakati mwengine zina tatizo la trackpad, majembe hasa ni bold 9800 ama Torch 9800 kama uwezo unaruhusu.
Unaweza kumtumia hela huyo nduguyo kwa kutumia paypal, ni free ukituma hela kama gift. Kama huna basi fungua pay-pal account, hautoweza kupokea hela(Tanzania) ila kutuma unaweza, ni rahisi na haraka zaidi.
Kweli is Ebay mobile phones seller with 100% feedback.

5. P

Paul S.S Verified User

#5
Aug 7, 2011
Joined: Aug 27, 2009
Messages: 5,933
Likes Received: 276
Trophy Points: 180
Mkuu nimekupa uzuri kabisa, ngoja nicheck na hii bold 9700 kidogo bei zake angalau naweza kujitutumua ila napenda sana touch screen.nimeona pia namna ya ku bid, let me try
By the way mkuu hiyo sentensi ya mwisho unamaanisha unadeal na vitu kama hizi

6. d

deedee Member

#6
Aug 7, 2011
Joined: Sep 19, 2010
Messages: 97
Likes Received: 9
Trophy Points: 15
Verizon/at&t bb phones hazikubali Blackbery internet service outside america...ukinunua hutaifaidi

7. Nyati

Nyati JF-Expert Member

#7
Aug 7, 2011
Joined: Mar 6, 2009
Messages: 2,042
Likes Received: 383
Trophy Points: 180
8. a

ammah JF-Expert Member

#8
Aug 7, 2011
Joined: Oct 2, 2010
Messages: 211
Likes Received: 4
Trophy Points: 35

mkuu kwa bongo bank gani ni nzuri kuunga na paypal?

9. Twilumba

Twilumba JF-Expert Member

#9
Aug 7, 2011
Joined: Dec 5, 2010
Messages: 6,148
Likes Received: 875
Trophy Points: 280
Sor mkuu mimi pia ninayo bb 9530 lakini kuweka salio ni kama lazima nipige 102 badala ya ile short cut ya *102#...... je inawezekana kuna sehemu inahitaji setting au huwa haikubali siku zote?

nitashukuru kama ntapata maelezo kwenye hili suala!

10. d

deedee Member

#10
Aug 8, 2011
Joined: Sep 19, 2010
Messages: 97
Likes Received: 9
Trophy Points: 15

Bundle ya kawaida inakubali kwa simu yeyote ya bb...bt ukitaka tumia Blackbery Internet service(BIS)..whch is unlimited....bb za verizon & at&t hazikubali outside america.
If want to enjoy bb tumia BIS, bundle ya kawaida utatumia only browsers....other BB apps hazitafanya kazi

11. P

Paul S.S Verified User

#11
Aug 8, 2011
Joined: Aug 27, 2009
Messages: 5,933
Likes Received: 276
Trophy Points: 180
Mkuu unashauri ipi ndio inafaa, i mean iliondikwa je? wengine sio wajuzi wa hii maneno na ninaipenda sana

12. Nyati

Nyati JF-Expert Member

#12
Aug 8, 2011
Joined: Mar 6, 2009
Messages: 2,042
Likes Received: 383
Trophy Points: 180
Kwa kweli hizi zina manjonjo mengi sana ila nakushauri google hilo tatizo kwani nami niliaangaika sana juu ya kutoweza tumia address book kupiga simu. Ilikuwa ina weka +1 na hivyo kutotambuliwa nikaangaika jhadi SAPNA wakashindwa siku niliyo google ikafuata steps tatizo likaisha

13. Uncle Rukus

Uncle Rukus JF-Expert Member

#13
Aug 8, 2011
Joined: Jun 16, 2010
Messages: 2,430
Likes Received: 7
Trophy Points: 0
hah hah hah! Mbona lilikuwa tatizo dogo sana hilo? ni just kuweka "none" kwenye setting badala ya ukuanza na US code.wale wahindi wa SAPNA nao walichemsha?

14. Uncle Rukus

Uncle Rukus JF-Expert Member

#14
Aug 8, 2011
Joined: Jun 16, 2010
Messages: 2,430
Likes Received: 7
Trophy Points: 0
Kuweka salio ni *104* na siyo *102# ...... Ili tatizo liko kwa baadhi ya BB mimi nina BB 8830WE mara nyingine ina kubali kuweka kwa number na mara nyingine inagoma inabidi nitumie njia ya voice ....

15. d

deedee Member

#15
Aug 8, 2011
Joined: Sep 19, 2010
Messages: 97
Likes Received: 9
Trophy Points: 15

nunua any unlocked bb gsm900/1800 bt not from verizon and at&t.

Loading...