Tatizo na modem ya voda

Tatizo na modem ya voda

NICK2275

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
3,930
Reaction score
924
wakuu natumia modem ya voda K 3565-Z-ila ni kama wiki nzima sasa na ushee haiwezi kuwa connected zaidi ya dakika 15,yaani ukishaiconnect tu-baada ya robo saa inaji-disconnect yenyewe-nimejaribu kuongea na voda customer care-nimeambulia majibu ya subiri pasipo na mabadiliko yoyote na wengine wakawa wananikatia simu-
NIMEONA BORA NILIFIKISHE HILI SWALA HAPA NAWEZA PATA MSAADA WENU-
NI HAYO TU
 
wame kuchakachua! Nenda makao makuu yao kama upo Dar. watakusaidia
 
jaribu kutumia line nyengine ya voda huenda ikawa ni laini pili software ya mordem yao inasumbua sana mi nimeibadili natumia join air
 
jaribu kutumia line nyengine ya voda huenda ikawa ni laini pili software ya mordem yao inasumbua sana mi nimeibadili natumia join air
<br />
<br />
join air tunaipataje? maana hata mimi natumia modem ya voda ambayo nimeichakachua na kuweka lind ya airtel
 
Back
Top Bottom