Windows 7 Installation Problem

gwambali

JF-Expert Member
May 10, 2011
230
76
Wana TEACH


Nimeformat Laptop yangu HP Compaq 6720S
ilikuwa na Windows 7 baada ya kuformat imekwama kwenye Expanding windows files (0%)
Inaishia kwenye % haiendelei mbele na wala haileti error MSG yoyote

Msaada wenu tafadhali

MY system
HP Compaq 6720S
Pentium 4
Speed: intel Core 2 duo
RAM: 2GB
HDD: 500GB
DVD RW
 
Mkuu,
Yaelekea DVD unayotumia inatatizo. Tafuta disc nyingine ya OS.
Lakini kwanini biashara ya kufomart wakati HDD ni 0.5TB? Partition ilikuwa bora. Kwa mtindo uliotumia bado utahaha kwenye kutafuta drivers stahiki.
Kazi ni kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom