GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,277
- 6,673
Habarini wana JF, Kuna dell laptop Inspiron 6000 kila nikitaka kuweka win XP inaenda hadi sehemu fulani kisha inagoma na kuleta blue screen na maandishi ya bluee "Check memory..." sijayashika vizuri. Nikaamua kubadilisha RAM na Hard disk lakini bado tatizo linaendelea kwa win xp tu! Nikitumia VISTA na win7 haina Tatizo please naomba msaada wenu nini nikifanye kutatua tatizo hili?