Airtel, Tigo kuna nini Kigamboni?!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel, Tigo kuna nini Kigamboni?!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Meking, Aug 7, 2011.

 1. Meking

  Meking JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Dia Membaz,

  Kama hauna laini ya Voda basi ukiwa Kigamboni hasa maeneo ya Mjimwema hesabu hauna mawasiliano.

  Netiweki inakatika hovyo hovyo tu kwa zaidi ya mwaka sasa. Nilikuwa natumia Tigo ilipoanza hiyo shida nikahamia Airtel lakini nako naekspiriensi tatizo hilo hilo.

  Voda wenyewe safi kabisa hata intaneti ni mwendo wa 3G. Nilitaka kuhama tena lakini Voda wana milolongo sana kupata namba unayoitaka.

  Hata hivyo tunahitaji kuwa na opsheni nyingi kwenye dunia hii ya utandawazi kibiashara, sayansi na teknolojia.

  Amkeni Airtel na Tigo, ni dharau na aibu kwenu kupatikana kwa mashaka mashaka hapa Kigamboni, kilomita saba kutoka siti senta, kilomita sita kutoka makazi ya raisi tena wa Jamhuri ya Muungano.

  Weki aaaap!!!
   
Loading...