Intel Vs AMD processor Kati ya Hizo mbili ipi ni bora?

kwa upande wangu naona INTEL ni nzuri kwani inavumilia na iko very wide in case unafanya replacement.kwani kuna jamaa angu hp yake Media center ina AMD imemfia katafuta bongo ati mpaka aagize tofauti na intel.
 
Zote ni processor sema bongo darisalamu tumekariri. Mi natumia ADM processor iko fiti kabisa wala sioni tofauti yoyote ile, iko fiti na inadunda mzigo kama kawaida. Kufa ni kawaida ila sema ADM processor ni kama magari ya ulaya ambayo hayako bongo.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom