Nini tena hii ?

Nini tena hii ?

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Wazee nimei flash simu yangu nokia 5310 ktk computer yangu lengo ilikuwa ni kuongeza ufanisi wa ki utendaji wa simu yangu. Mwanzo ilikuwa na v.3 sasa ni v.8 ajabu sasa hivi kila nikijaribu kudownload any apps inaniambia NO CERTFICATE ON SIM OR PHONE.japo ukienda ktk setting unaziona certficate kibao tu mpaka zingine zinaishia 2016 wazee nisaidieni hii maneno namna ya ku solve.
 
nenda kama operamini kadownload kuna sehemu imeandikwa download with no certificate afu niambie..
 
nenda kama operamini kadownload kuna sehemu imeandikwa download with no certificate afu niambie..
ngoja niende mkuu nitarudi kukupa jibu.japo nilikuwa ninahitaji UC BROWSER AU BOLT BROWSER nazipenda kwakuwa unaweza uka minimize na kufungua page ingine.
 
Wakuu, hiye certificate ndo ina kazi gani ktk simu? Na nikitaka kuiona au kuifikia nifanyeje? Natumia Nokia N95. Natanguliza shukurani wakuu.
 
Back
Top Bottom