Mobile track kwenye samsung msaada tafadhali

lukenza

Senior Member
Apr 11, 2010
120
8
nimewahi kupotelewa na simu yangu sasa hivi ninatumia sum sung nataka kuweka mobile tracker kuongeza security incase nikipotelewa
lakini haina hii option je hapa unafanyaje anayejua tafadhali msaaada
 
Mbona simple tu.! Nenda phone security setting halafu unabofya kwenye mobile tracker. Unaweza kuweka hata namba tano za ulinzi wa cm yako.!
 
Mbona simple tu.! Nenda phone security setting halafu unabofya kwenye mobile tracker. Unaweza kuweka hata namba tano za ulinzi wa cm yako.!
<br />
<br />
Ohoo kumbe! Je Blackberry 8520 nipataje hiyo mobile tracker?
 
nenda kwny setting, then security, then utaona option ya mobile traker, kasumsung changu cha bei rahic kanayo hy option
 
ivi mtu mjuaji akiiba afu akabadilisha hiyo number kwenye mobile truck number si inakuwa haina maana au kuna option ya password?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom