Jamani nina htaji kfanya kazi kama nilivyo htimu masomo yangu ya IT katka chuo cha NEW HORIZONS CENTRE at Dar es Salaam branch.
Lakini tangu nihtimu sijaifanyia kazi professional yangu ninafanya...
wanajamvi kuna mtu sijui kaifanyaje laptop yangu DELL INSIPIRON N5030 kwani ikiwaka tu na kabla haija boot inataka niweke password nahisi ni system password. Swali ni je nitazipata wapi? au je...
jQuery ni libray ya script inayorahisisha na kumuondolea web designer au developer kazi ngumu ya kukumbuka mistari ya javascript. Nimekuwa na jaribu baadhi ya script na code za jQuery na...
ningependa kufahamu kama kuna namna yoyote ya kuweza kuendelea kutumia this antivirus,baada ya trial period kuisha (31 days),well nimeidownload kwenye simu.
wadau tufahamishane kwa lugha yetu(kiswahili) ingawa swali limeulizwa kwa kingereza.nauliza swali hilo kwa kuwa sasa hivi inayobamba ktk media za kimataifa ni hacker hacker hacker .Tuelimishanae...
Hi JF
Wakuu tukitumia mbinu kama hizi kwenye uchaguzi..nadhani tutapata watu wengi,
tutalazimisha kutangaza chama fulani na kukiponda chama fulani
nimecheza na .bat file na list ya MAJINA ya...
wakuu wa tech nina mtumba wa esprimo mobile d9500 nimegundua kuna sehemu ya kupachika sim card nimejaribu kugoogle nijue namna ya kutumia naona nyota tu.nimeonelea si vibaya nikiomba msaada...
Wataalam,ninawaombeni msaada wenu,1) Ni namna gani ninaweza activate window vista, 2) Key ntakazotumia ku'activate' window vista!!!!!Hali ni mbaya kwa mkopyuta wangu,kila mara inataka ni'activate'...
habari zenu wote
naombeni msaada kidogo kuhusu subaru forester,nimenunua hii gari kama week mbili zimepita,nimegundua hili gari lina matatizo ambayo nisingependa yanipe ugonjwa wa moyo
nikiwasha...
Hellow JF!!
Kama wajua hili kaa chonjo!!!
ila kwa wale ambao hawajui basi unaweza kuupdate Avira antivirus bila kutumia internet yako ya bundle 20MB hehe just joking bana!!!
Watu wengi...
Laptop yangu DELL INSIPIRON imenizenguwa kama ifuatavy:, majuzi nimeinunua ikiwa na Windows 7, lakini kwa kuwa sitaki kutumia windows hiyo niliamua kuformat. Hivyo kama kawaida nikaingiza CD na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.