who is a computer hacker?

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
wadau tufahamishane kwa lugha yetu(kiswahili) ingawa swali limeulizwa kwa kingereza.nauliza swali hilo kwa kuwa sasa hivi inayobamba ktk media za kimataifa ni hacker hacker hacker .Tuelimishanae huyu HACKER ni nani.na je kashaingia ktk vyombo vyetu nyeti vya kiusalama hapa nyumbani(TZ)?Wavimba macho wetu(usalama wa taifa)wanauwezo wa kumdhibiti?ni hayo tuu wakuu
 
Hackers ni ni wataalamu wanajua sana kucheza na computer ambao wanafahamu sana ni code gani hutumika katika kutengeneza programs fulani. hivyo kwa kutumia ujuzi wao wana uwezo hata wa kufungua password yako bila ya matatizo yoyote wakasoma wanachokitaka bila ya wewe kugundua kitu. kwa ujumla hawa ni programmers wanaotumia vibaya ujuzi wao na hivyo kuonekana kwa ujumla wao ni wabaya ila ni watu wazuri tu.. kwa jina la kawaida wanapofanya kazi zao vizuri huwa tunawaita CRACKERS to mean wendawazimu wa masuala ya computer. hao ndio hackers ni wewe au mimi.
goodluck
 
kiongoz umesomeka vzur sana
 
sio kila jambo unaweza kujibiwa na google.nilikuwa na maana kubwa kulifikisha swala hilo hapa.kwani najua wadau wa JF wanaenda mbali zaid ya hiyo Google uliyotaja.mfano hili la ''Wavimba macho wetu(usalama wa taifa)wanauwezo wa kumdhibiti?.utajibiwa na Google!!?JIPANGE WEWE.read my signature careful then have some deep thinking.lol
 
Back
Top Bottom