Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kuna mwanaforum yoyote ambaye ametembelea webisite ya HabariLeo (www.habarileo.co.tz) hivi karibuni? Inaonyesha imevamiwa.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wazee nimesahau password yangu ya yahoo wakati najaribu kuibadilisha nikajikuta nimesahau secret question moja wapo kati ya mawili, kuna mwenye maujanja mengine nifanyeje
0 Reactions
2 Replies
1K Views
In order to save time on converting files to PDF, the function, batch conversion is developed by converter developers. Spire Free PDF Converter is one good choice to batch convert files (including...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimejifunza kuna uhaba wa wana taaluma ya science nchini. Wengi wanataka kujuzwa hakuna au wachache wanatujuza.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
asee simu yangu ni nokia c9 ina line ya voda na tigo nashindwa kujiunga
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu juzi kati nilikuwa natoka kupata kilaji nikapata kaajali mitaa ya magomeni kama saa 5 usiku hivi, katika kurupushani ya ajali nikatoka nje ya gari kwa bahati mbaya nikasahau kulock milango...
11 Reactions
69 Replies
7K Views
nimewahi kupotelewa na simu yangu sasa hivi ninatumia sum sung nataka kuweka mobile tracker kuongeza security incase nikipotelewa lakini haina hii option je hapa unafanyaje anayejua tafadhali msaaada
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wazee nimei flash simu yangu nokia 5310 ktk computer yangu lengo ilikuwa ni kuongeza ufanisi wa ki utendaji wa simu yangu. Mwanzo ilikuwa na v.3 sasa ni v.8 ajabu sasa hivi kila nikijaribu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naombeni msaada wa serial No za adobe cs5 na webpage maker jaman au keygen zake. thanks
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau kuna ndugu yangu yuko USA nataka nimtumie pesa aninunulie simu kisha aje nayo mwezi ujao Sio mtaalamu sana wa mambo ya ebay na hizi simu hivyo naomba mcheck hii simu RIM BLACKBERRY STORM...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wakuu natumia modem ya voda K 3565-Z-ila ni kama wiki nzima sasa na ushee haiwezi kuwa connected zaidi ya dakika 15,yaani ukishaiconnect tu-baada ya robo saa inaji-disconnect yenyewe-nimejaribu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
There are several scenes that catch viewers by surprise in HBO’s new documentary film, "Google Baby": The exact moment an Indian surrogate mother sees the child she has held in her body for...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa wanavyuo au hata marafiki nunueni baundle kubwa kwa kuchangia then hakuna haja ya kununua moderm mbili kama wote mna tumia windows 7 cha kufanya mmoja wenu anaweza ku unga moderm kwenye...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Dia Membaz, Kama hauna laini ya Voda basi ukiwa Kigamboni hasa maeneo ya Mjimwema hesabu hauna mawasiliano. Netiweki inakatika hovyo hovyo tu kwa zaidi ya mwaka sasa. Nilikuwa natumia Tigo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Intel Vs AMD processor Kati ya Hizo mbili ipi ni bora?
0 Reactions
3 Replies
5K Views
bandugu kwa yeyote mwenye serial namba za Internet Download Manager naomba aniwekee hapa jamvini hii kitu nimetuma trial kwa mwezi hakika ina supidi ya hali ya juu sasa siku 30 zimeisha ,tafadhali...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Habarini wana JF, Kuna dell laptop Inspiron 6000 kila nikitaka kuweka win XP inaenda hadi sehemu fulani kisha inagoma na kuleta blue screen na maandishi ya bluee "Check memory..." sijayashika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana TEACH Nimeformat Laptop yangu HP Compaq 6720S ilikuwa na Windows 7 baada ya kuformat imekwama kwenye Expanding windows files (0%) Inaishia kwenye % haiendelei mbele na wala haileti error...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hao Watu waIntel ni Mwisho kabisa katika hii technology ya Computer.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana jf naomba maelezo jinsi ya kutengeneza wireless kati ya simu na laptop au kama kuna link ya thread hiyo naomba tafathali Natanguliza shukran
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom