Kaspersky antivirus kwenye simu

Kaspersky antivirus kwenye simu

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
291
ningependa kufahamu kama kuna namna yoyote ya kuweza kuendelea kutumia this antivirus,baada ya trial period kuisha (31 days),well nimeidownload kwenye simu.
 
kwenye computer inawezekana ila kwenye simu ngoja tungoje wataalam waje watujuze na waataalam mkija bora mtupe key kabisa
 
Simu gani hiyo inayohitaji AV?
 
hivi mshawahi kamata virus na hizo ant virus? Mi naona za simu uzushi tu
 
Back
Top Bottom