S SunStrong Member Jan 24, 2011 56 3 Aug 5, 2011 #1 Hi, wataalam I need Ur help. My acer laptop inaonyesha maandishi kwa mbali sana kwa sababu taa za display haziwaki, nafanyaje hapo nafanyaje?
Hi, wataalam I need Ur help. My acer laptop inaonyesha maandishi kwa mbali sana kwa sababu taa za display haziwaki, nafanyaje hapo nafanyaje?
Gurta JF-Expert Member Sep 17, 2010 2,234 531 Aug 5, 2011 #2 Display yako ni aina gani? Ng'oa weka ingine