Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

BINAFSI NILIPO ZIONA SIGARA HIZI NILISHANGAA SANA LAKINI NI SIGARA ZA KISASA KABISA ZINAZO TUMIA UMEME NA HAZINA MADHARA KIAFYA.. HII NI HABARI NJEMA KWA WOTE WAVUTAJI.. BOFYA HAPA KUONA SIGARA HIZO
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau, hebu nipeni namba ya mtu au dealer ukiacha CMC Automobile, anaeuza spares za Ford hapa Dar. Unaweza pai kunipa namba ya fundi wa magari models za FORD; Ranger, Focus ama Everest...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UNAITAJI EAR PHONE UKIWA KAZINI NA KAMA UPO KWAKO BASI JIACHIE NA MZIKI MNENE KUSIKILIZA BOFYA HAPA TONE INTERNET RADIO
0 Reactions
0 Replies
989 Views
khabar za sasa wana jf. Nashida ndogo 2. Kama unafahamu web ya kudownlod free books naomba unidondoshee. Nashda sana ya vitabu vya muzic na guitar
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je, unajua kwamba inaweza kuzungumza na Kikokotoo chako? Jaribu hii: ingiza namba 0.1289 na uizidishe kwa 6. Jibu litakuwa ni ni 0.7734. Sasa geuza kikokotoo chako juu-chini na kikokotoo...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Samahani wadau mi nimenunua modem ya voda juzi na kila nikitumia nachukua laini naweka kwenye simu najiunga na internet kwa elfu mbili inawahi sana kuisha afu kila nikitaka kudownload naishia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The begging of the end. The Metropolitan Police's Central e-Crime Unit arrested an 18-year-old at an address in Scotland's remote Shetland Islands, the force said in a statement. His name wasn't...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kuna app fulani niki-install inakubali ila nikiifungua inatokea "system error". Simu yangu ni nokia 5320 xm! Naomba msaada wenu wakuu apps ni muhim sana!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naandika bila kuweka space, yenyewe inaniwekea space kwa lazima... WHY!?!!!!!!?????
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamaniii apple has released iOS 4.3.5 do not update or u will loose your jailbreak, iOS 4.3.5 is available for jailbreak only tethered....so don't update jus remain at 4.3.3 i udated and got a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa! Nauliza wapi nitaweza pata Genuine USB TV Tuner kwa Arusha au Dar? Na zinauzwa kwa bei gani kwa pesa za kitanzania? Naomba kuwasilisha!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wana JF nimejikanza nimenunua Used Iphone 3 sasa naomba Software ya Itune kwa mwenye nayo niweke kwenye computer yangu niweze kuweka music Asanteni OP, a.k.a Farasi bubu
0 Reactions
2 Replies
958 Views
salam wakubwa, nimekua nikihangaika kupata web.nzuri ya ku-download moviez kwenye laptop yangu bila mafanikio. U-tube wananipa vipande vya moviez. Naombeni msaada especially wa ku-download series...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu,kumbe hapa bongo hakuna chuo chochote kinachofundisha ICT kwa distance learning.Hii si itasanbabisha maendeleo ya ICT kutofikiwa haraka tz Au labda mimi sijui,lakini watu wengine...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wanajamii naombeni msaada wenu katika hili suala, ninataka kutengeneza web based application ambayo inaweza ikatumika katika secta za elimu especially vyuoni, nataka iwe the best, sasa nilikuwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Samahani kwa kupost late but I hope Uta keep it on your reminder so that mwakani utaikumbuka System Administrator Appreciation Day For more Information about System Administrator Appreciation...
0 Reactions
1 Replies
955 Views
hello guys.. hope u good haya sasa offer kabambe, hurry up. get official key ya tuneup utilities for free simply enter ya mail and follow instructions.. enjoy!! for people who does not...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa masystems administrator je unazifahamu na kuzifuata hizi code of ethics? Kama huzifahamu ni hizi hapa chini kama huzifuati jitahidi kuzifuata. https://lopsa.org/CodeOfEthics
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, mnaweza mkaona ni swali la ajabu na la kitoto, lkn tafadhali sana naomba mnifundishe jinsi ya ku-upload files, pics, video, website links, n.k humu jamvini. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar wataalamu!Nina Programu ya Pinnacle studio 10 kwenye PC yangu.Tatizo kila ninapofanya project fulani inashindwa ku save files ambazo zipo tayari kama kazi.Badala yake inaweka ka alama kadogo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom