Operating system yake inajulikana na ni line moja tu wakati za Mchina nyingi ni line mbili,Kwa jinsi gani ninaweza kuitambua blackberry original?
Operating system yake inajulikana na ni line moja tu wakati za Mchina nyingi ni line mbili,
Ni kama vile unavyokuwa na iphone mbili ya mchina na original utagundua ipi fake na ipi original ukiangalia os zakeOS gani hiyo inayojulikana?
blackberry zote za orinal ndivyo zilivyo kama utatoa betri zinachelelwa kuwaka ila kama ulizima kawaida tu ni fasta.Line 1,ukiwasha baada ya kutoa betri inabidi ukae kama/zaidi ya dakika moja iload softwares ndo uweze kutumia tena
<br /><br />Fungua option alafu angalia About itaona wameweka kila kitu hapo