Majaliwa ya kupona kwa laptop yangu dell insipiron n5030 yapo mikononi mwenu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majaliwa ya kupona kwa laptop yangu dell insipiron n5030 yapo mikononi mwenu.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by baina, Aug 4, 2011.

 1. baina

  baina JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanajamvi kuna mtu sijui kaifanyaje laptop yangu DELL INSIPIRON N5030 kwani ikiwaka tu na kabla haija boot inataka niweke password nahisi ni system password. Swali ni je nitazipata wapi? au je kuna njia zipi za ku-bypass? Msaada tafadhali kwani mpaka sasa mimi ni student wa chuo nimo kwenye field, nahitaji kuandika report mambo mengine kibao. Mpango mzima umo ndani ya laptop hii. masaada tafadhali.
   
 2. Michael Paul

  Michael Paul Verified User

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 60
  Mkuu kuna mtu atakuwa amekuekea hiyo paswrd... Kwani mara ya mwisho hukumbuki ulimwachia nani? ninavyojua passwrd ikiwa kwenye bios ni kaz sana kuibypass... Labda tusubiri watalaam zaidi watujuze...
   
 3. Mwakijale

  Mwakijale Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jombaaa fungua hyo laptop, n then nenda mpk kwny CSMOC battery.. lichomoe, liwekee nje kwa mda wa ka dk. 15 hv n then rudishia, bt remember all information that are being in BIOS u must set upya.. Note: csmoc battery and nt external battery, try it
   
 4. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Nime google hizi njia

  Method 2  Method 3 .
  DIY a bootable CD/DVD or USB Flash Drive Dell password recovery disk


  Chanzo Dell Password Reset Helper

  Official webste ya Dell wanatoa maelezo haya.
  http://support.dell.com/support/topics/global.aspx/support/kcs/document?c=us&cs=19&l=en&s=dhs&docid=DSN_E21A18454B4A6550E030A68F27286358&isLegacy=true

  NB soma hiyo caution kwa makini kufungua laptop sio kazi rahisi kama PC. ukiona vipi tafuta mtaalama mwenye vifaa sahihi.

  SOma pia hapa Reset password on Dell Inspiron or Dell Inspiron password reset at ease
   
 5. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  baba hapo ni cmos battery tu...ingekuwa ni desktop ni rahisi maana ukifungua kasha tu inaonekana kwenye motherboard (muundo wake kama battery ya saa au calculator) sasa kwa laptop inatofautiana kulingana na muundo wa mashine yako, kuna nyingine utahitaji ufungue mifuniko michache tu nyuma ya laptop unaweza kuiona ila kuna nyingine balaa...mpaka ufungue mashine nzima...kazi kwako kamahujawahi kufungua laptop na unaogopa kufanya hivyo nakushauri ipeleke kwa wataalamu tatizo linatibika ila kama upo NONDO we shika "bisibisi" tu...pole sana..
   
 6. HT

  HT JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ku reset password inawezekana. Prove that hiyo laptop ni yako na si kuwa kuna mmiliki aliyeibiwa
   
 7. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  mbona hajibu amefikia wapi na majibu ya wakuu yamesaidia au lah?! ili tukupe option zingine?!!
   
 8. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mkuu we mwaga tu hizo option nyengine zitatusaidia sisi wengine tukikumbana na matatizo hayo
   
 9. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu shukrani saana na mimi nilikuwa na Dell yangu, nimehangaika sana mpaka nikanunua laptop nyingine nitajaribu

   
 10. baina

  baina JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi ni kwamba kinchohitajika si user/ administrator password bali ni system password kwani window haina shida bali shida ni kwamba laptop inapowaka tu inataka password hata kabla haija-boot, kwa maana ya kwamba nikiweka hiyo password ya manufacturer wa Dell ndo process ya ku-boot na ku- load windows itafuata.
  Kwa maana nyingine ni kwamba system inakuwa haija-load device yoyote ile ( ie CD ROM, HARD DISK n.k) inanitakisha password.
   
 11. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  mimi nina hp yangu ya desktop sijaweza badilisha bios configuration mpaka leo, kisa ni pasword. Nilijaribu kutoa betri ikakaa nje siku nzima lakini niliporudisha hiyo betri bado ilikuwa nahitajika niweke pasword ndo niweze acces features za bios. Kwa case yangu nifanyeje?
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Soma hapa.

  Kujua ni jumper gani hasa za kudeal nazo na ziko wapi tambua model ya deskotp yako then katafute technical manual yake kwenye tovuti ya HP i download na fuata maelekezo. katika troubleshooting Rule Number one inaitwa RFM ( Read the ****en Manual) - RTFM - Wikipedia, the free encyclopedia

  Kwa desktop ni rahisi zaidi kuliko laptop
   
 13. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,025
  Likes Received: 3,051
  Trophy Points: 280
  Jf is full of different people with different knowledge,thnks!i always appreciate your attendance to problems
   
 14. abiudy caleb

  abiudy caleb Member

  #14
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni private tuonane nikutolee uje tekemeke mtaa wa mvuleni karibu na sokota uliza applemax computer
   
 15. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  kuna issue ya battery yenyewe kuwa imeisha pia...kama imwekwisha kabisa..kuitoa na kuirudisha tena haina effect yoyote hata ukikaa njee mwaka mzima..make sure battery bado inanguvu au tafuta mpya kwa uhakika zaidi..then iweke washa pc then zima afu uitoe na kuwasha tena bila battery then uirudishie kama kawaida...pole sana anyway!
   
Loading...