subaru forester

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
habari zenu wote
naombeni msaada kidogo kuhusu subaru forester,nimenunua hii gari kama week mbili zimepita,nimegundua hili gari lina matatizo ambayo nisingependa yanipe ugonjwa wa moyo
nikiwasha gari nikiweka drive gari haiendi,inakaa kama sekunde 10 ndo inaenda,wakuu hili jambo limenisiktisha sana
je kabla sijachukua hatua yoyote kuna mtu mwenye subaru na yalishamkuta haya
naombeni ufumbuzi

mkuu ungewahi kuomba ushauri kabla ya kununua usingepata presha yote hiyo, subiri wenye magari kama hilo watakuja kukupa ushauri, lakini kwa Forester, utajibeba

hiyo kwa forester kuchelewa kurespond ni kawaida hata mi linanizingua ila muhimu uweunalifanyia service ya ukweli oil filter, fuel filter na gear box oil filter ni gari zuri kwa speed, luxury , comfortable na lina nguvu ila duh mjomba lina kula ngwese mbaya afu spear zake ziko juu, ila ka uko arusha hutapata shida kinunua genuine spares coz arusha hizi gari ni nyingi na nyingi saana zimepinduka ziko kule december kwa wakereketwa so spear nyingi genuine ila used unazipata kwa bei ambayo sio mkasi sana

habari zenu wote

naombeni msaada kidogo kuhusu subaru forester,nimenunua hii gari kama week mbili zimepita,nimegundua hili gari lina matatizo ambayo nisingependa yanipe ugonjwa wa moyo

nikiwasha gari nikiweka drive gari haiendi,inakaa kama sekunde 10 ndo inaenda,wakuu hili jambo limenisiktisha sana

je kabla sijachukua hatua yoyote kuna mtu mwenye subaru na yalishamkuta haya

naombeni ufumbuzi

mkuu uza fasta kabla haijakufi

hiyo kwa forester kuchelewa kurespond ni kawaida hata mi linanizingua ila muhimu uweunalifanyia service ya ukweli oil filter, fuel filter na gear box oil filter ni gari zuri kwa speed, luxury , comfortable na lina nguvu ila duh mjomba lina kula ngwese mbaya afu spear zake ziko juu, ila ka uko arusha hutapata shida kinunua genuine spares coz arusha hizi gari ni nyingi na nyingi saana zimepinduka ziko kule december kwa wakereketwa so spear nyingi genuine ila used unazipata kwa bei ambayo sio mkasi sana

mkuu umenitia moyo sana,nilikuwa nawaza labda nimefanya makosa kununua subaru
nilishamiliki escudo na baadhi ya magari madogo na hayajawahi kunidissapoint hata siku moja
ila kwa wese linatisha manake leo nimejaza lita 10 nikatembea kl 110,ni noma mkuu

kweli mkuu huku arusha zipo nyingi pamoja na nairobi, tena nairobi kuna dealer wa subaru utapata genuine spares part.

mkuu umenitia moyo sana,nilikuwa nawaza labda nimefanya makosa kununua subaru
nilishamiliki escudo na baadhi ya magari madogo na hayajawahi kunidissapoint hata siku moja
ila kwa wese linatisha manake leo nimejaza lita 10 nikatembea kl 110,ni noma mkuu

sawa na lita1 kwa km11,,,not so much bad! Fanya services kila inapotakiwa especial filters.

Similar Discussions

Back
Top Bottom