JINSI YA KU-UPDATE AVIRA ANTI-VIRUS FREE EDITION OFFLINE!!Bila Internet

SHAROBALO

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
771
349
Hellow JF!!

Kama wajua hili kaa chonjo!!!

ila kwa wale ambao hawajui basi unaweza kuupdate Avira antivirus bila kutumia internet yako ya bundle 20MB hehe just joking bana!!!

Watu wengi wanatishika na majina na marangi rangi ya maantivirus...tena wengine wanatishika na sauti kwamba virus has been detected...mara milio ya kitimoto...lol

antivirus ni antivirus tu...what really matter ni kwamba iwe up to date!!!

na tusitumie zenye crack na serial za wizi coz haina maana...ni bora utumie TRIAL halafu uwe na TRIAL RESETER au Free Adition avira

Avira AntiVir PersonalEdition is a comprehensive, easy to use antivirus program, designed to offer reliable virus protection to home-users only.

Hata kama computer yako haina internet cha kufanya ni hivi:

1> Tafuta computer yenye internet..may be Ofisini au Internet Cafee

2>Fungua IVDF and VDF Update Info au

hii http://dl.antivir.de/package/fusebundle/win32/int/vdf_fusebundle.zip

3>Copy the downloaded file to a portable media storage such as an USB Stick or a CD-ROM for transferring it to the PC without internet access. Note: Extracting of the ZIP file is not necessary.

4>Fungua avira yako kwenye computer unayotaka kuiupdate...click update...select MANUAL update halafu locate lile file uliloli download.
itaanza kuupdate !!!!!

easy like charm!!!!

Naamini free edition zingine zina njia yake ambazo wakuu wataelekeza pia

cheers!!!!
 
Karibia antivuris zote zina hii option ya ku-update offline.... Mfano avast,ukidownload offile update yake unafanya double click tu file usika inaji-update yenyewe auto.
 
yes wakuu!! so no need ya ku crack or using fake serial..
 
Sharobaro Vs Uncle Rukus nani zaidi piga simu 000000000 katika kipindi cha nani zaidi katika mautundu ya ICT,wako mtangazaji Mfiabongo
 
hapomzee internet bado muhimu mi nilidhani sitahitaji internet kabisa mwee! kama huna access na net bado ni tatizo
 
Back
Top Bottom