baina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 219
- 60
Laptop yangu DELL INSIPIRON imenizenguwa kama ifuatavy:, majuzi nimeinunua ikiwa na Windows 7, lakini kwa kuwa sitaki kutumia windows hiyo niliamua kuformat. Hivyo kama kawaida nikaingiza CD na ku-restart Computer. Computer iliboot kawaida na mengine yote yakafanyika ikiwemo ku-copy files. Baada ya ku-copy files kuna hatua ya ku-restart windows ili ianze ku-install. Sasa tatizo ni kwamba inapotaka ku-restart inashindwa na kuleta blue screen. Lakini pamoja na mambo mengine kuna hii code nayo ikakuwa displayed:0x00000007B(0XF7B8C524,00000034,0X00000000,0X00000000), naomaba msaada kwenye eneo hili on how to solve this.