Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

wakuu heshima mbele nimeona niweke hii kitu kwenye page moja kupunguza msongamano wa page humu nakaribisha maoni kama umeipenda na umenufaika pls usisahau kunigongea thanx motorola w220 display...
1 Reactions
11 Replies
11K Views
Habari Yenu, Mimi nimekuwa configured internet connection ya DSL ya TTCL 1MBps Unlimited lakini chakushangaza speed iko low sana ni chini kabisa yani si stahiki kulipia 110,000 halafu speed iko...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nahitaji Mac Os operating system kwa Apple netbook! Mwenye link ya kudownload tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Jamani kama knaabiria aliyepanda gari la UCC Dar es Salaam branch alipakulie full detail za pale nikmanisha ufndshaji wao, materials, practices na performance yao na after xul vip ukienda field...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani naomba kuuliza!Nina desk top yangu inaukubwa wa 120gb.Haina partition.Je naweza kufanya partition bila kupoteza data zangu nilizonazo kwenye hiyo HDD?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
SIMPLE PROGRAM FOR CHANGING PDF TO WORD AND WORD TO PDF http://www.filesonic.com/file/1638088704
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Laptop yangu (HP pavillion dv 9000) ina matatizo ya kuwaka. Fundi ameicheki akanishauri kuwa suluisho ni kubadilisha motherboard. Naombeni msada wenu wakuu.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamvi, Naomba mwenye utaalam wa kuunganisha Samsung IPhone GT19000 kwenye vodacom internet anielekeze maana nimeshawapigia mara nyingi kila muhudumu na maelekezo yake. Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta software tajwa hapo juu kwan niliyonayo haina baadh ya pic kama pic18f887. Mwenye link naomba aniwekee hapa tafadhal niweze endelea na maprograming kwani nimekwama kwa sababu hiyo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nahitaji serial namba za softwareSony DVD Architect 4.0 na Sony Vegas 7.0 nasubri wadau
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu naombeni mnitupie dashboard ya joinair plz.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
kama nlivyo ona kweny hii blog Antivirus with 1 year activation key ~ Tz downloads avast untivirus for free na keys za activation ziko ila lazma uwe mtumiaji wa internet ndio itafanya kazi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari JF.Baada ya kupitia forums mbalimbali na kuongea na wa2 kadhaa imenishawishi kuandika thread hii.Sasa ninaweza kusema kwamba inawezekana kupata channels za dstv bure.Camini kama hakuna...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau mu hali gani? Niliwahi kuuliza hapa jamvini kuhusu tatizo la ubuntu kwenye Hp pavilion dv5-2155dx yangu kushindwa kupata option ya write click na left click. Kwa kuwa nilikuwa nimeinstall...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
some hackers (trick-TeampMisoN_)have hacked blackberry blog: http://blogs.blackberry.com bah! It is hackers and big companies!!
0 Reactions
1 Replies
922 Views
wakuu nimesahau password niliyoweka kwenye pc, naombeni kama kuna software yoyote nzuri ya kutoa administrator password kwenye windos
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani kwa wanaotafuta driver nanapenda tushare hii link: http://laptop-driver.blogspot.com/2010/04/hp-compaq-nc6220-widnows-7-driver.html
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Nina modem ya vodafone,tokea jana,umekuwa kero!!unakuta signal zipo,ila inaniandikia the page has not been found.Sijui kama naeleweka hapa.Tafadhali munisaidie
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi wakuu. Hawa ndo real hackkers. sidhani watu kama hawa wanaweza kushindiwa kupenetrate computer system yoyote ya Tanzania. Ni kundi linajiitai LulzSec. Hawa jamaa kwa sasa ni tisihio na...
3 Reactions
81 Replies
11K Views
Asee wakuu ma it wa kampuni yetu wamerestrict jamii na facebook sasa mimi nimefanikiwa kuiiba admini password kabla ilikuwa hata kudown load wamezuia nilipoipata hii nikilog in kuitumia nadownload...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom