kuunga simu na huduma ya mtandao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuunga simu na huduma ya mtandao

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by The only, Aug 5, 2011.

 1. The only

  The only JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  asee simu yangu ni nokia c9 ina line ya voda na tigo nashindwa kujiunga
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  inatumia line mbili? Unashindwa kutumia internet ktk simu? Au kuunganisha internet ktk pc kupitia simu?
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  so mchina?? Maybe nkupe ip adress tigo 010.168.020.080 nenda kaedit acces point yoyote bonyeza option nenda advance option ip adress eka hizo na port eka 8080 utatumia mtandao wowote,
   
 4. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Pole Your ploblem will be solved HERE!!

  SIMU ZA KICHINA

  CHEERS MKUU!!!
   
 5. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  INTERNET SIMU YA MCHINA!
  Hallow, Nimepata maswali mengi toka kwa wadau wa manase jinsi gani wanaweza kuunganisha michina yao Iweze tumia internet..Simu za kichina ni simu nzuri sana japo zina mapungufu mengi ila pia zina faida kem kem..Kuunganisha internet kwenye mchina wako ni rafisi sana Haina haja ya kwenda ofisi za tigo wala voda wala nini, Tuliza kichwa chini na ufatishe haya maelekezo hatua kwa hatua.

  VITU VYA KUZINGATIA
  1. APN : Internet
  2. Home page: ::BONGO MUZIKI::
  3. Proxy adress: 010.111.033.243(Au angalia kwenyesimu iliyokubali internet)
  4. Proxy port: 8080
  Kumbuka kuwa Baadhi ya mitandao huwa inaingiliana proxy,so ukiseti hizi unaweza weka line yoyote na ikakubali,ila zingine hazikubali hadi ujue proxy zake. kufahamu tafuta simu ambayo imeunganishwa tayari,nenda kwenye setingi na utafute mwenyewe

  SASA FATA HATUA KWA HATUA.KWANZA TUBADILISHE Data Account. FANYA HIVI ;-
  1. Bonyeza Services => Data account => GPRS
  2. Bonyeza profile yoyote na Bonyeza "edit profile"
  3. Ipe jina hiyo profile. (mfano: kwa tigo andika "TIGO")
  4. Andika APN (internet)
  5. Sehemu ya username na password USIJAZE KITU na authentication weka normal
  6. Sasa save profile yako na iactivate
  HATUA YA PILI NI KUSET GPRS setting kwa kutumia Data account ya hapo juu. FANYA HIVI ;-
  1. Nenda kwenye Services => WAP =>Settings=>Edit profile
  2. Bonyeza profile yoyote na Bonyeza "edit profile"
  3. Ipe jina hiyo profile. (mfano: kwa tigo andika "TIGO")
  4. Ipe mtandao (::BONGO MUZIKI::)
  5. Kwenye Data account select Ile tuliyo iseti kwenye hatua ya kwanza
  6. Kwenye connection type chagua HTTP na ipe ile proxy adress na proxy port
  7. Sasa save na activate
  8. Tayari sasa waweza ku surf web, gprs umesha iactivated kwenye mChina mobile yako Huu ni mfano kwa tigo tu.

  Fatisha maelekezo haya kwa mitandao mingine pia. Nitaendelea kuwapatia Proxy adress za mitandao mingine kwa ajili ya mchina mobile yako. Endelea kusubiri..

  All thanks to Mr manase

  SOURCE LINK SIMU ZA KICHINA
   
 6. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />

  asante kwa kutumiminia maujuzi
   
 7. The only

  The only JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  asee broo nakushukuru u real a gentle
   
Loading...