Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

hEY gUYS, Naomba mnisaidie, nina External Drive ya Seagate 1TB, nimeigawanya mara nne(partitions). I dont know what went wrong today, nilikuwa najaribu ku backup my files from laptop but drive...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
[b][color=#ff0000][size=4]nauza decoder ya dstv
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ndio wakuu niaje? nahitaji ku run softweaz za mac kwenye windows nafanyaje? am aware of vitu kama crossover and wine lakin hizi ni vice versa meaning zinasaidia kurun win apps kwenye other os kama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nimesikia wakuu kwamba 30th of this month ndo EA sports wata release hii game ambayo naskia itakua ni revolution katika game za mpira. naskia jamaa wamewafunika hadi Pes. je una mtazamo gani...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
wakuu nimekopi program ya Nero toka computer moja kwa kutumia flash na kuitumbukiza kwenye local disk ya pc yangu , sasa namna ya kui-run ili nipate kuitumia ndo kimbembe, natumia window vista...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jamani naombeni msaada natumia noki e61i and nasikia kuna uwezekano wa kupata e mail moja kwa moja kama sms za kawaida, bt sijui jinsi ya kufanya ili nifanikiwe hilo zoezi
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari jf members.nilichomeka modem yangu ya vodafone kwenye usb port ya kompyuta ya mezani,ghafla ikawa ya moto sana,tangia hapo kila nikichomeka kwenye kompyuta yoyote massage hii hutokea 'one...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inawaka vizuri, ila baada ya muda inazima na kuniandikia haya maneno. "A problem has been detected and window has been shutdown to prevent damage to your...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
The following disassembly guide will explain how to take apart a Sony Vaio PCG-K series notebooks. I created this guide while taking apart a Sony Vaio PCG-K25 notebook but I think you can use the...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Is your computer infected with virus? Do you often get mysterious error messages? Well this is a common problem faced by almost all the computer users across the globe. There are many viruses and...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ok habari zenu... Ninajua sikuhizi unaweza kuship na kununua vitu online to Tanzania BUT! i have some questions kwa watu waliokuwa experienced navyo..Ukinunua e.g A DVD from Ebay or anysite which...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Baada ya kuona watu wengi wakipaa matatizo mbalimbali kutokana na jambo hili leo nimeona tupeane somo kidogo juu ya jambo hili. Ni mara nyingi utasikia mtu akisema nataka kubadilisha operating...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
ni laptop aina ya Dell Latitude D600, ya zamani eti? Basi huwa inapiga kazi si mchezo,sasa hivi imeanza kutoa mlio wakati wa kufungua files hasa kama ni file kubwa,mlio wenyewe ni wachini sana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Natumia nokia x2 imekuwa installed opera min version 4.2.12 kiukweli siipendi sio nzuri kama version 6.1 ila nashidwa jinsi ya kuibadili je kuna njia yeyote ya kuweza kuibadili?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
blackberry curve ni lak 3.7 mpya ninazo 6 iphone 4 ni lak 4. 5 mpya ninazo 7 samsung galaxy lak 6 ipo 1
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari Kuna nembo flani hivi natakta niiprint kwenye document flani nimefanikiwa kuikopi na kuipaste kwenye document yangu cha ajabu nilivyo iprint kwenye ile nembo haikutokea je tatizo liko wapi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamii, naomba wapi nitapata unlock key ya nokia x6, nimegoogle kwa muda , naona nazinguka tu, any linkl regrds mja
0 Reactions
4 Replies
2K Views
A key fell off the laptop keyboard. Fixing the problem. One or more keys fell off the laptop keyboard and you are not sure how to put them back? Don’t worry, most likely you can fix the...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
wakuu hili tatizo linanikera sana. yaan ipo yang ya 30gb imekua slow sana kurespond adi natamani kuipasua. unaweza ukaselect mziki ukashangaa una play baada ya dakika tano. au inaweza ku stuck...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…