Hallo wadau,
naomba msaada nataka kujiunga na bundle ndogo kabisa ya internet ya vodacom , inaanzia na shillingi ngapi? nimeona airtel wao wako safi sana Tshs 2,500/= tu unapata MB400 mwezi mzima...
today i went to a certain bank in town to deposit my friends's account. while i was in a queue i felt like taking a leak and one of the staff showed me where the public toilet for all customers is...
This is made for users without any experience with car radio !!!
Brand new models are locked with several options ,anti theft ,Immo protection ,can-bus protection ,code locked and may be some...
Heshima zenu wakuu.
wale wataalam wa mambo haya,nisaidieni. Laptop yangu aina ya hiyo nilipata nayo ajali,screen yake ikapasuka. Sikuitumia kwa muda wa miezi 5 ikiwa off,baadaye nilifanikiwa...
Viulizo hivi watu tunavitumia kwakujua ama kutokujua katika kufanya mambo mbali mbali kama
Kwenda kazini, Kutongoza , nk teh teh teh teh
Kufanya maamuzi kama kuchagua kati ya...
Community for people who want to advertise and promote their products and services. Also a perfect platform to meet with other people to share and discuss different topics. Join now for free and...
Habari. Naomba kufahamu kama kuna tofauti ya HP na HP Compaq.
Ninatafuta betri ya Laptop HP 6730s dukani kuna HP compaq 6730s
Aliyeniagiza yupo mbali sana. Vipi kuna tofauti ya vitu hivi viwili?
najua asilimia kubwa ya wana JF humu ndani pia ni wapenzi wa huu mtandao FB..lakini hivi ulishawahi kujiuliza kwa wewe unaetumia FB,hivi kwa mfano FB ikifungwa ulishawahi jiuliza utahamia network...
Wataalamu naomba mnijulishe hili tatizo sababu zake ni zp!natumia chrome kama default browser yangu,lakini nikifungua facebook ,ile page hai display yote yaani inaonesha ile ribbon ya facebook,my...
Wadau naombamaoni yenu mi niko mbeya ila tbc na star imekuwa hadithi wengine wanasema frequency zpo chin wengine wanasema mfumo umebadilika samahan naomba msaada ktk hili*
whts up JF members
this specially for people who were looking for online storage!!
A VERY EFFICEIENT WAY OF DOING BACK UP FOR YOUR IMPORTANT FILES!!!!
now Adrive wametoa 50gb free...
Our Apple iPhone 4G comes with complete accessories, also with one year limitedwarranty and Apple Protection Plan
Minimum order is 5 units.
Buy 5 units Apple iPhone 4G (32GB), will receive two...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.