Help!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Help!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by 22nd, Sep 30, 2011.

 1. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hEY gUYS,
  Naomba mnisaidie, nina External Drive ya Seagate 1TB, nimeigawanya mara nne(partitions). I dont know what went wrong today, nilikuwa najaribu ku backup my files from laptop but drive imekuwa RAW,bad drive.
  ukiiweka kwenye Desktop ndio haisomi kabisa, yaani haionekani.
  kuna uwezekano wa kuricover? and do I hava to trust it any more?
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  1st stop manufaturer website wwa HDD pia wana forum zao kama hii Thead kuhusu seagate HDD kuwa RAW pia au hii au google

  Ukienda kwenye tovutu ya seagate na kudadavua unaweza kukuta labda kuna hata nyenzo ya kudeal na hilo tatizo. Othewise subiri wataalama walikutana na hilo tatizo wakujulishe walitatuaje
   
 3. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Thanks, nimejaribu kusoma ila sijatatua tatizo langu,nimejaribu kuwatumia email ila sijui watanijibu lini
   
Loading...